Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

CCM na UKAWA nani wanahangaika? Rais EL kila akija na hili mnazingua anatoka na jingine mara mzime umeme, mara oooh ICC ya nini? Mara msitumie jangwani, mara matusi, mara UKAWA wanaedit pictures, mara...xxxxxxxxxx tulieniiiiiiii ....mtatoa mbegu mwaka huuuu😂😂😂😂
 
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu

mwigulu muntua waako!! mazogolo maako.
 
Hawa jamaa wameamua ku-take side (CCM). Pengine kwa sababu wengine wao ni wenyeji wa Kanyigo! Nashangaa kila siku wao kama viongozi wa media hii wanakomaa na threads za H Polepole. This is ridiculous!

Mkuu hili jambo limeniuma mpaka basi.

Watu tumekesha na ule uzi,.... dah, mpaka nashindwa kuandika.
 
Yan Kampeni Za Mwaka Huu,kila Chama Kinataka Kumuonyesha Mwenzie Anaubavu Wakujaza Watu..Trh 23,ukawa Mliwasema Sana Ccm Sijui Wamekodi Uda Lakini Nyie Vp Leo Mnarudia Kilekile?
 
ila nasikia watakata matangazo ya kingamuz cha startimes ili itv isionekane
 
Good move towards liberation. Viva UKAWA.
 
Wewe umetoa point ipi sasa hapa? Pinga kwa hoja mkuu. Hiyo dhana ya mfumo ni porojo za kisiasa

Unakumbuka 2005 Kikwete alipoingia madarakani kwa ushindi wa 80%?

So mlisema Ni handsome, kiongozi bora Na eti chaguo la Mungu?

Sasa unaweza kumtathmini vipi? Si anahusishwa na ufisadi kuanzia wa IPTL, EPA, Escrow, bomba la gesi? Kipi kilimharibu?

Au tulikosea kusema ni chaguo la Mungu bali ni la shetani yule wa kuzimu?

Jibu ni rahisi; System itokanayo na kujengwa na Katiba yetu mbovu ya JMT ya mwaka 1977!!

Kutoka kwenye katiba CCM nao wana extract mipango na sera zao ambazo in return hazitupeleki popote kimaendeleo kwa kasi inayotakiwa!!

Ndiyo maana wanaung'ang'ania mfumo huu kwa udi na uvumba kwa sababu ni mbovu wenye manufaa kwa kundi la watawala zaidi kuliko general public na huu ndio unaomuharibu kila kiongozi awaye yeyote wa serikali iliyo chini ya CCM hats awe mzuri kwa kiwango chochote!

Ndiyo maana watu tunacheka tu na usanii na kelele za Magufuli akidhania yeye ni bora na atakuja Ku make positive difference zaidi ya kwenda kutumika na kuutumikia mfumo uliomlea!!...Ni kujidanganya na kutudanganya pia mchana kweupe.

Huwezi kupiga suit yako maridadi na parfume bora kabisa duniani ukatumbukia ndani ya choo cha shimo (CCM) kwenda kukisafisha utegemee utatoka msafi......impossible!!!

Na hapa ndiyo ile dhana ya "Mabadiliko nje ya CCM" inapopata nguvu.

Maana yake ni moja tu, kwamba, ni lazima kuua na kufutilia mbali mfumo huu wa hovyo wa kulea wezi na maovu yote ndani ya serikali na kujenga mfumo mpya kwa kuhakikisha tunakuwa na sheria mama (katiba) mpya ambayo kwayo tutajenga mfumo mpya wenye kulea na kuzalisha watu watiifu, waoga na watumishi wa wananchi!!
 

Lowasa hakika anauzika. Wengi tutampa kura zetu. Mungu tunakuomba sana utuondolee hili joka baya ccm lililotawala miaka 54 bila maendeleo yoyote!! Aamina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…