Uzalendo kwanza
Member
- Aug 12, 2015
- 56
- 23
Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.
Nimepita jangwani muda huu nikitokea kariakoo, hiyo nyomi ni balaa! Na watu wanatembea kwa miguu toka kariakoo na wengine wakitokea magomeni! Baada ya SAA moja kutoka sasa pale jangwani itakuwa kama bahari ya watu?
majuzi alisimama dakika 7, leo nitaendelea kujua anamudu kuhutubia kwa dakika ngapi?
Nikituo gani cha TV kitalusha hewani angalau na sisi wamikoani tuone?Mkuu nawaza hapa sijui niende pamoja na CANON camera yangu nichukue picha kisha niwatumie wadau wa mikoani nao waone Dar patakavyofurika leo ila naogopa kuporwa na vibaka.
View attachment 281648
Magufuli atosha
M npo hom kijich mbona umeme upo ila amna Chanel ata 1 inayoonye ukawa
Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.
hasipovaa gwanda leo kura yangu hapati.
Hayo maneno ya kutakaswa sijui mungu kafanya nini acheni msifien lowasa kwa kila aina ya meneno lakin msilete udini mtaharibu vijana wenzangu