Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
Ccm huko waliko sijui hali ikoje
MKAPA NI HATARI SANA!!
VERY STRATEGY LEADER...!!
Mpaka sasa hivi VIONGOZI wote wa UKAWA hawajazungumzia hoja ya msingi wa vipaumbele vyao....
Wako wanajibu maneno ya mkapa, kikwete , na warioba....
Wamechokaaaaa ukawaaaaa!! No point till this time...
Mmepoteana
Hii inaitwa jaza nyomi style yani mmewakalisha watu miguu imenyooka mbele ili kujaza uwanja hahaa yani pamoja na kusomba kokoto bado haijasaidia...
Naona hawa mbwa wamekata umeme
Subiri wagombea waje weweWanaacha kutuambia ilani na sera wamebaki wanajadili kauli za Mkapa na Warioba
chadema wasanii sana mara wanachama 30 mara slaa atakuwepo. Sasa hvi akina kibo 1 wamefyata
Hapana mkuu zilikuwa ni za mama yako aliniingiza ghetto kwako kwaajili ya kumpatia dose
Hivi hizi camera za ukawa zina kibali cha kuruka?