Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015


Goli la mkono mkuu....
 
Akili ndogo uliyonayo inakufanya uwe na jazba. Bisha kwa hoja matusi peleka ukawa au nyumbani kwako hapa tuachie ma great thinkers tukufundishe siasa. Usiwe bendera fata upepo.

kaharishe mkuuu
 
Sumaye anakoroga mafaili,anajikanyaga kuilaumu CCM,Huwezi wauliza wananchi maswali ya kijinga...maswali ya bungeni!..raia wanashangilia bila kutafakari...mambo anaongea uzandiki Kama CCM ina ngozi mbili ye na Lowassa ni ngozi ngapi?

Naamini raia wanaoshangilia ni wale fata mkumbo wasiokuwa na uwezo hata wakufikiri kwa dakika mbili.
 
Sumaye anakoroga mafaili,anajikanyaga kuilaumu CCM,Huwezi wauliza wananchi maswali ya kijinga...maswali ya bungeni!..raia wanashangilia bila kutafakari...mambo anaongea uzandiki Kama CCM ina ngozi mbili ye na Lowassa ni ngozi ngapi?

Anachokisemaga magufuli ndicho cha kushangaa, na kuna mabwege humshangilia, magufuli anahoji udhaifu wa serikali yake! A baby! Eti anashangaa hospital hakuna madawa, ha! Nani kayaondoa? Eti ataleta mabadiliko, ha! Yapi hayo? Kwahiyo usiwabeze wanaomshangilia sumaye, wakosahihi na mahali sahihi, washangae wanaomshangilia magufuli anayebeza serikali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…