Ccm kweli kidume,kinapambana na vyama 4 na bado kinavitoa jasho,kweli hii ni balaa hawajiamini,hawalali ukawa wanaifikiria ccm tu
Chaneli gani wanaorusha
mkapa amekimbizwa tmj hospital
mkapa amekimbizwa tmj hospital
Ccm kweli kidume,kinapambana na vyama 4 na bado kinavitoa jasho,kweli hii ni balaa hawajiamini,hawalali ukawa wanaifikiria ccm tu
Sawa karibu. Ila hapa JF tunataka lugha fasaha , hivyo uandishi wa ki facebook hautakiwi hapa, sawaHabar wana Jf, Kwa Mara ya kwanza leo Naandika Topic hii nikiwa Mgen humu ndani pia nachukue nafc hii Adhim kuwapongeza wale wote wenye Uchungu wa kweli wa Ukombozi wa Taifa letu, Hakika Mungu atawalipa kwasababu Mungu wetu anataka kweli yenye Mapenz Mema, Pia Mungu Awabarki wale wote ambao wamefungwa na Ibilisi na pia kuwa mawakala wa kutetea Maovu yanayofanyika ktk nchi yetu yenye baraka zote kutoka kwa Allah,Binafc nijickia mwenye Amani nikiwa kama Mmoja wa wasema kweli ndan ya jukwaa au Nje ya Jukwaa na ndiyo mana leo Tunalikomboa Taifa letu Iwe Mvua Iwe Jua Jangwani Hatukosi kuwepo, Pamoja tutashnda
Wananchi wakiamua hata ulete porojo zipi, wao wameamua. Tukutane 25 Octoba! Mutajibeba mwaka huu. Kenya Wananchi walisema Rais wao ni huyo huyo aliyeshatakiwa The Hague na ipo hivyo hadi leo. Na ndivyo Watanzania walio wengi wanasema Rais wetu ni huyo huyo FISADI, ni uamuz wa Wananchi! Utakuja kushtuka propaganda zenu zikitupwa kuleeeee!
Naona kuna mvua aiseeeee, mkutano utakuaje Jangwani jaman?
tupo jangwani mvua si lolote kwetu...
Katika Biblia Mvua ni dalili ya ujio wa Mungu. Katika mila za kiafrika mvua ni ujio wa mfalme au mtu wa neema. Hivyo mvua ni Baraka na ni neema. Mbarikiwe wote!
Itawachapa mpaka mkome kulinga
TMA wametoa taarifa yao kwamba kutakua na mvua kubwa kuanzia leo mchana na Dar ni baadhi ya maeneo yatakayokubwa na kadhia ya mvua.Hizi ni baadhi ya picha nilizozipiga mida hii hapa GOMZ!!
Hata siku moja usiwalinganishe Wakenya na Watanzania. Kuna tofauti kubwa sana. Mimi binafsi nimekaa Kenya na ninawafahamu Wakenya kuliko unavyowajua wewe, vile vile na Watanzania, ninaishi nao na mimi pia ni Mtanzania. Kwa kifupi tu ni kwamba CCM inarudi tena madarakani tena kwa kishindo kikubw mno na hutaweza kuamini. Siasa zetu Tanzania bado ni changa sana.