Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Kesi ya jinai haiozi wala hairithiwi ujumbe ndio huo Dr wa sheria amekwisha sema ushahidi ulihifadhiwa. Mkilazimisha ikulu lazimwa aswekwe lockup, alianza Masha hiyo ni salamu. Magufuli keshawatonya mahakama maalum ioooo inakuja. Na yeye EL aseme km ktk sera yake atajifungulia mahakama imchunguze.
kumbe kuna maneno yanamilikiwa na ccm! Hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaa...!Mmepagawa naona maneno ya ccm yamewakaa kweli juzi yule fisadi wenu Lowasa naye anasema wataisoma namba ha haha ha ha.
Maajabu mkuu..kimya yani hakuna hata nanii hii mupige picha walau tunanihii jamani tufurahi..Update mbona zinachelewa kwani hakuna lolote hapo jangwani?
Mimi sio CCM, bali CHADEMA asilia, nachukizwa na kitendo cha kukanyagwa kwa demokrasia
Kwanza ikinyesha ndio vizuri kwasababu inapunguza joto watu hawataanguka kwa kukosa hewa na maji mwilini. Inyeshe tu ndio baraka.tupo jangwani mvua si lolote kwetu...
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani.
Tuwe sote pamoja kujuzana yatakayojiri kwenye kampeni za leo.
============
mkapa amekimbizwa tmj hospital
Na haidi kuama hii nchi lowasa akiwa raisi