Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

kikongwe upo bado nenda web ya cdm ukaisome pia tutaipest huku ilikuwa ni kurukakiunzi cha kuzidisha mda ilani itanadiwa full kwenye kampain sawa bibi

Kama zile pumba za babu seya na balali ndo summary ya ilani yetu, basi ni sheeeeedahhhh...... Siwezi poteza mda kuitafuta online aiseee..
 
Hukuelewa au hutaki kuelewa?Kasema kipaumbele ni Elimu, elimu bure kutoka msingi hadi chuo kikuu. Hii hukuisikia?Katoa vipaumbele vyake kama atapata ridhaa ya wananchi nothing else.
Kikiwemo cha kumtoa Babu Seya gerezani!
 
Pia nipeni mfano wa taifa japo moja ambalo limefanikiw kutoa elimu bure toka elimu ya awali mpaka chuo kikuu.....mnatudharau sana hata sie wasomi kwakutufanya wapumbuvu tusio kuwa na uelewa.....ovyo kabisa
...

Ujerumani
 
Chenga chenga tupu...eti watu wakasome ktk mtandao...kha ndio upeo wake wa kufikiri ulipoishia? Au ameshindwa kusimama saa moja ndo yale aliyokiri sumaye? Watanzania wangapi wanatumia mtandao? Hivi ana takwimu sahihi huyu, anadhani kushinda DSM ndo Tanzania yote? Very low vision very low indeed.
 
Tunataka atuambie atatufanyia nini Sisi wananchi tukamwamini kumpa kura baasi!unaniambia habari ya kurudisha balal duniani tena?!Kazi ya kurudisha watu amwachie Gwajima na kanisa lake sisi tunataka SERA zenye mabadiliko!!!

Kuna watanzania zaidi 50 wamefungwa Congo tena vifungo vya maisha kwa kesi ambazo hazina ushahidi wala maelezo ya kueleweka!watu wako ulaya mahabusu kwa zaidi ya miaka 20 hawajasomewa mashtaka yao,niambie Lowassa utawatowaje wale watanzania waje walitumikie taifa lao na uaepushe na uonevu wanaotendewa!badala yake unaniambia utamtoa Babu seya Gerezani na Magaidi walioua Askofu zanzibar na kulipua mabomu makanisani kweli??!

Hapana hapana!tunataka mabadiliko na sio marudio yautawala
 

kwani sumaye akiwa marekani ndio hajui kinachoendelea nchini? hivi mbona watz tupo hivi?
 
aibuuuu lowassa leo aibu, bora isirudiwe coz ndo atazidi kupoteza kura
 
Kama wamekosa elimu na ndio chanzo cha kushindwa kusoma sasa si umemsikia kuwa hicho ndicho kipaumbele chake?au hupendi kukubali ukweli kuwa hakuna maendeleo bila Elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…