Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
 

Attachments

  • Screenshot_20250808_145900_Instagram.jpg
    Screenshot_20250808_145900_Instagram.jpg
    515.3 KB · Views: 42
  • Screenshot_20250808_145917_Instagram.jpg
    Screenshot_20250808_145917_Instagram.jpg
    559.7 KB · Views: 40
Mkuu inawezekana kabisa nilianza na mtaji MDOGO SANA WA MIKOBA ya MTUMBA ya wanawake kwa chini ya shilingi elfu KUMI moja TU ELEWA chini YANI SI elfu KUMI chini yake lakini ndani ya MWEZI TU sikuwa na MILIONI ila mzigo ilikuwepo WA kujaa kidogo hivo inawezekana ni MUNGU TU. Na juhudi



Kwishaaaaaa
 
Labda aliuza ardhi au mali ambazo zilikuwepo nyumbani, lakini milion kumi siyo mchezo mchezo.
 
Kwa hyo unataka kuwabishia?
Bakhresa alikuwa anashona viatu posta
 
Hizo screenshot ata wewe unaweza ukatengeneza,Kila kitu nu fake uku online siku hizi
 
Back
Top Bottom