Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

Point mkuu.mambo ya intelejensia hayo .hatuwezi kujua usikute idara ndio imeratibu hii script ya chadema ili kuiokoa ccm isimeguke vibaya.hata hivyo bado nature inaindama ccm hadi isambaratike.
Kuna kile chama Sam Sitta kilianzishwa kama spare, kikiishia wapi. Kulikuwa Chama Cha Wananchi Tanzania kama sikosei.
 
Kasanga Tumbo aliendelea na maisha yake ya kawaida? You must be joking, hakuruhusiwa kutoka eneo la kijiji/kitongoji chake kwa miaka zaidi ya 30, Preventive Detention Act ilikuwa inafanya kazi
 
Wewe tulia kimya ndani ya hiyo nyumba ya 'udongo', huo mlio unaousikia nje,ni maji tu yanapita kwa wingi..Kuna majirani wajinga wanayaita mafuriko...mvua Iko kule mlimani,wewe jirani lala bana!
 
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.

Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
Nimekuelewa mno , kama vile upo kichwani kwangu🤔
 
Lissu ni mwamba....hakimbi nchi
Huyo slow slow leo hii wa kukimbia nchi yake unaomba hifadhi nchi
Zile zile unazo ziita mabeberu 😄
Arudi apambane na hao wahuni ndani ya chama

Ova
 
Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!
2021-2025 sio haba amefanya kazi kipindi kirefu...
 
IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
 
Lissu ni mwamba....hakimbi nchi
Huyo slow slow leo hii wa kukimbia nchi yake unaomba hifadhi nchi
Zile zile unazo ziita mabeberu 😄
Arudi apambane na hao wahuni ndani ya chama

Ova
You don’t have to strive to say things which makes you fit with the crowd (hata kama crowd yenyewe ya mataahira).

Lissu ni mtu wa hovyo, na asilimia kubwa ya wafuasi wake humu hata siasa hawajui.

Kuna kikundi cha mkumbo kinachomkuza huyo taahira humu; ukiwauliza why 90% can’t justify.

Ushabiki wa Lissu JF ni based on herd thinking ya watu wa chit-chat, vinginevyo Lissu ni mtu wa hovyo and clueless.
 
Haya ndo mambo ya July July ya Britanica
 
Kasanga Tumbo aliendelea na maisha yake ya kawaida? You must be joking, hakuruhusiwa kutoka eneo la kijiji/kitongoji chake kwa miaka zaidi ya 30, Preventive Detention Act ilikuwa inafanya kazi
Sass kwani hapo hakuendelea na maisha yake Kama kawaida akiwa kijijini kwake? Na hiyo miaka 30 umekoleza chumvi ukaongeza na ugoro
 
Huna lolote porojo tu
 
Mkuu naomba tuwekee mojawapo ya nyuzi ya yaliyotabiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…