Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

Mkuu Mshana Kuna utofauti baina ya Balozi na Mwambata, Balozi ni Balozi kwenye nchi husika, na Mwambata ni afisa kwenye ubalozi attached officer, mara nyingi wanakuwa ni wanajeshi kwenye ubalozi.

Kwahiyo Polepole ni Balozi sio Mwambata,πŸ™
 
Tatizo mwaka huu mmejwenda nje kabisa ya mstqri
1: Fomu moja
2: Kuuwa wanaowakosoa
3:kukandamiza Democrasia
4:Kuwafunga wapinzani
5: Kunfunga mpinzani wenu wa chama cha upinzani
6:Hamtaki kabisa kukoseolewa
ALL IN ALL hii haijawahi kuyokea toka 5/2/19977
 
Inaweza kuwa rekodi mpya duniani na ya kipekee kabisa!
 
Wataelewa wanapo kosea,ama walipokosea?
 
namba 1 mengine ni yale yale..watarekebisha tu usijali..Asante kwa kushiriki.
 
Sawa meya nimekupata πŸ™
 
Ana hadhi gani sasa hivi ya ukazi huko aliko?
Kaacha kazi kwa kanuni alipaswa kurudi nchini aendelee na majukumu mengine.. Nje ya hapo popote alipo kwasasa ni mkimbizi wa kisiasa na Kama hajaomba hifadhi ya ukimbizi basi yuko kwenye mchakato
Kwa nn unaamini kuwa hayupo nchini?
 
wasira umepotea
 
Shida ni pale mtu anagomesha kuchambia maji machafu, na kusahau kinachotolewa ni kichafu zaidi kuliko maji machafu, anyway hebu kila mtu akae na mgando wa mavi yake!
 
Kajitambua huyo tumpe sifa. Kuishi ndani ya CCM ni sawa na kuweka ubongo wako stoo afu unatumia ubongo wa machawa.
 
Mkuu Mshana Kuna utofauti baina ya Balozi na Mwambata, Balozi ni Balozi kwenye nchi husika, na Mwambata ni afisa kwenye ubalozi attached officer, mara nyingi wanakuwa ni wanajeshi kwenye ubalozi.

Kwahiyo Polepole ni Balozi sio Mwambata,πŸ™
Asante kwa ufafanuzi nilishaomba @ moderator arekebishe tangu asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…