Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Huyo kapaniki.

Tunamuelewa. Leo analala na viatu
Kila post yake ni kusifia ujinga Tu

Anarusha vijimiradi vidogovidogo vinavyofanywa na mainjinjia wazawa halafu anakuja kutuvimbia humu

Hawa chawa mi shida
 
Neno galasa ama garasa linavunja moyo sana.

Are you okay pal?
Garasa ni wewe hapo kubwa la ma idiot 😂😂
download.jpg
 
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.

Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani

Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu

Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Sasa ndiyo umeeandika nini?

Kikwete katutowa chini ya Dollar moja kwa siku, umesahau hilo? mwendazake lifanya nini zaidi ya porojo na kuturudisha nyuma? Ili wote tuishi kama mashetani?

Lengo la mama ni kutupaisha mpaka 2025 twende juu ya diollar 2 kwa siku, barabara zote zinaeleke huk, tena kwa kasi sana.
 
Rudi shule ukapate akili
 
Naona marangirangi hapo 😄
Anyway ngoja miezi 6 iishe tuone
Hali ya umeme itakuwaje

Ova
Mkuu
CCM imeshashindwa.

Wamejaza watu wao kwenye mfumo kuratibu wizi wa kura
 
Karne ya 21 unaongelea habari za kunyesha mvua,akili kisoda we
Umeme wa.maji bila mvua hakuna ,hata iwe Karne ya 100.

Mwaka juzi China ilikuwa na ukame na kukapatikana na shida ya umeme ,ilikuwa Karne ya ngapi?

Bichwa kubwa akili za mtaroni
 
Umeme wa.maji bila mvua hakuna ,hata iwe Karne ya 100.

Mwaka juzi China ilikuwa na ukame na kukapatikana na shida ya umeme ,ilikuwa Karne ya ngapi?

Bichwa kubwa akili za mtaroni
China gani hiyo ambayo ukame ulitokea ukasababisha mgao wa umeme?

Au China ya mitaa yenu... Kenya penyewe hawana shida ya umeme, alafu unalinganisha China na Tanzania... Yani china kuwe na shida ya mgao wa umeme... Mwaka juzi gani, weka link hapa ya kuonesha China kulikuwa na mgao mwaka juzi? China ukikatika umeme hata nusu saa ni hasara kwa taifa
 
Back
Top Bottom