Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

Mkuu sio kwamba kujua kingereza ndo kuwa na akili, bali kujua kingereza kunasaidia sana kwenye elimu na maisha ya kawaida.
Inshort hakikwepeki
Kingereza hakikwepeki kufanya nini?

Kama kingereza ni muhimu kihivyo basi wakenya wote wangekua wamefanikiwa ana ncho zote zinazoongea Kingereza kuanzia Uganda, Kenya, Malawi, Zambia, Zimbabwe, South Sudan, South Africa na nyingine zote kila raia wangekua wamefanikiwa sana kwa sababu wanaongea kingereza.

Kingereza kinakusaidia nini, unafanya biashara za kimataifa ili utumie kingereza?
 
Jamani swala elimu si la kuchezea. Hakikisha "mwanao" anapata kilicho bora. Usibeti na elimu.
 
Na wewe unatamani wanao wapitie njia hizo kutafuta elimu yao?.
 
Ifike wakati serikali iende na wakati na kubadili mfumo wa lugha ya kufundishia na kuwa Kiingereza toka mwanzo. Na wale wanaojimithilisha na China kusema kuwa Kiingereza hakina umuhimu basi pia wamithilishe na uchumi wao.
Hapa ndipo kwenye hoja, achana na blah blah nyingine!

Kwanini wepesi uwe ni kuiambia serikali ibadili lugha ya mtaala na sio kuifanya kuwa ya Kiswahili mwanzo mwisho? Nafikiria tu!

China na wafananao, imewasaidiaje kutokuwa na English?
- Kuna mpaka zile dead language zinazotumika kwenye lugha ya kisayansi, why not English?

Nchi ngapi Africa zinatumia English mwanzo mwisho na bado tuko nazo sambasamba tu kwenye ujinga na umasikini?

Copy n' Paste ya mitaala haiwezi kusaidia kwa watu kujua English.
- Elimu ya msingi na muhimu ihusu mazingira halisi yaliyotuzunguka kwa kuzingatia nyakati!

Wajinga wengi walioshia kutumia Poda, Sodomalism, Usagajilism, kulana ndugu, na upumbavu mwingi ulikuwa ni matokeo makubwa ya wanafunzi wa hizi St Mary's enzi hizo.
- Baobab wamekuja kuweka tu mambo hadharani ila ni mbaya kuliko hivyo.
 
Nimeipenda hii
 
Ni kweli mkuu, Kayumba kuna watu wanaelewa vizuri jambo ila lugha inawapiga chenga.

Nilikua na jamaa yangu yeye alikua anaweza sana hesabu tu, hayo masomo mengine yenye ung'eng'e mwingi yalikua yanampiga chenga saana.

Mtoto primary ndio anajifunza kiswahili kutoka lugha mama ya kijijini kwao, hajakimaater vizuri inabidi ajifunze kingereza ili ajibu mitihani, ni mwendo wa kukalili tu.
 
Huko unakoishi ama kufanya kazi huuoni utofauti kati ya wahitimu wa hizo shule?
 
Kwani Doto Magari, Mwijaku, Baba Levo na Wakina Dayamondi walisoma wapi vileeee?? 🤣🤣🤣
 
Huu ubishi wa EM na Kayumba unatufanya kuacha hoja ya msingi na kujikita kwenye ubishi wa kijinga usio na manufaa.

TATIZO LA MSINGI NI MFUMO MBOVU WA ELIMU KUANZIA MSINGI MPAKA CHUO, HILI NDIO TATIZO WATANZANIA WOTE TULIPASWA KULIPIGANIA ILI UKOMBOZI WA ELIMU UPATIKANE NA WATANZANIA WAPATE ELIMU BORA BAADALA YA BORA ELIMU.
 
Mkuu,
Haziitwi pvt kwa sababu zinafundisha vitu pvt, zinaitwa pvt kwa sababu zinamilikiwa na pvt ppl
 
Daah.
 
According to Kingwendu
 
Milion 2 au laki 2?
 
Shida sio kingereza ila ni mtaala wetu,both Ems na kayumba znahubir kitu kimoja,ambacho Ems anakipata kwa gharama kubwa tofaut na kayumba and final outcome ya wote ni vyuo vikuu vyetu na course zetu hizi hzi za kukariri!! Na mwsho wa sku wote wanakua majobless.
 
Kwa kufupi wewe ulikuwa kilaza .
Hii inchi ina mamilioni waliosoma shule za serikali na wako na ma degree na wanafundisha vyuo vikuu .
Yani kama ww ni kiazi hata ungepelekwa wapi haikufanyi kuwa bright.
 
Naona walimu na wamiliki wa EM wamekuja kutetea ugali wao😄😄😄

Mliopo huko makazini tupeni DATA ANALYSIS huko makazini wazee wa EM vipi wanajipya au mwendo ni uleule😄😄😄
 
ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ni matapeli kama matapeli wengine hawana kipya.

Wale wa International school ndo wanaruhusiwa kueleza faida ya kusoma MITAALA ya ulaya na Marekani ila nyie wengine endeleeni kutupa hela huko kwa wamiliki wa hayo mashule na kuwatajirisha.Mkimaliza mje kuomba UWINGA masokoni🤗🤗🤗
 
Wajinga wengi walioshia kutumia Poda, Sodomalism, Usagajilism, kulana ndugu, na upumbavu mwingi ulikuwa ni matokeo makubwa ya wanafunzi wa hizi St Mary's enzi hizo.
- Baobab wamekuja kuweka tu mambo hadharani ila ni mbaya kuliko hivyo.
Almost mashoga wote wanaojiuza online wamesoma kayumba.

Aggrey kasoma EM gani?

Ant Asu kwao Magomeni Mapipa kasoma EM gani?

Ant Suzy kasoma EM gani?

Na kuna tofauti ya shoga na malaya wa kishoga. Hao malaya wa kishoga ni wamesoma kayumba, wanajiuza club na profession yao ni kulalwa. Hakuna mwanaume asome Feza kisha umkute Kitambaa Cheupe ameshikilia pochi anajishebedua, wanafanya kwa siri na sio kwa umalaya, ila hao waliosoma Mwananyamala SM utawakuta wamejichubua na kuvaa wigi wanarembua.

Mitaani uko Buza wanaaoongoza kutoa mapenzi kinyume cha maumbile ni vilaza tu hata hawajawahi kanyaga ardhi ya EM. Washereheshaji wa kitchen parties, birthdays na "shughuli" uko kwa wavaa vijora kwa sasa ni mashoga mitaa ile jamii ya Keko na Kigogo na wamesoma shule hizohizo ambazo darasa wako 200 wenye Division 4 ni 120.
Humkuti mwanaume kasoma St. Francis eti anasherehesha shughuli akiwachamba wabaya wake.

Alumni wa Kaizilege ajiuze namna hii? Wazazi wenye roho mbaya mnajifariji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…