Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Mtaa nilioamia kuna demu mkali alafu nasikia Stori ananitajataja sn,anaulizia watu km Nina mtu au la maana ametoka kunipenda.Sasa mleta mada hivi ndy uko na mwanamke wako alafu ukasikia Stori km hizi kuna mtoto mkali anakutaka unaanzaje kujizuia na nguvu za kiume unazo?

Kuna uwezekano mkubwa nikajiangusha kwenye box la penalty wallah

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke au mwanaume kuwa na mahusiano na mtu mmoja maishani ni kitu hakiwezekani na hakitawezekana.
Utaweza kudumu na mtu mmoja kwa muda fulani tu, lakini siyo maisha yote hautakuwa au haukuwa **** na mahusiano mengine.
Usipoharibu wewe, basi mwenzio ataharibu.
 
Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.

tujitahidi
Niliwahi kuwa na mwanamke Mmoja Kwa kipindi cha miaka mi2 bila kucheat[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilimuambia ni vigumu Kwa mwaname kuwa na mwanamke Mmoja kuliko kuwa na wengi hakuwahi kunielewa.



Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom