libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Wanaume tunapenda radha tofauti tofauti leo umepiga bonge kesho unaonja English figure mtondogo unataka mwenye tako kisha unarudi kwa tall slim yaani kukidhi haja tofauti tofauti unakomaa na mwanamke mmoja mama ako mzazi huyo? Mama mzazi ni mmoja tu.Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi