Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Mtaa nilioamia kuna demu mkali alafu nasikia Stori ananitajataja sn,anaulizia watu km Nina mtu au la maana ametoka kunipenda.Sasa mleta mada hivi ndy uko na mwanamke wako alafu ukasikia Stori km hizi kuna mtoto mkali anakutaka unaanzaje kujizuia na nguvu za kiume unazo?

Kuna uwezekano mkubwa nikajiangusha kwenye box la penalty wallah

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mpotezee
 
Kwa comment hizi nimejihisi sijui Nina tatizo au niaje??

Miaka yangu yote huwa naishi na mrembo mmoja hadi tuachane. Tukiachana naweza kujipoza kwa kuwa jogoo la mtaa kwa siku kadhaa ila huwa ni muda kidogo. Huenda hata nikawa na one-night stands, huwa sina michepuko nkiwa na pisi kali nayoielewa. Pisi zinginezo zinaingia kwenye my watchlist (potential mates) au kuwa tu friends wa kawaida)

Nikipata pisi nayoielewa natulia tena narudia tabia yangu. Pisi yangu huwa ni sehemu kubwa ya maisha yangu somehow.

I'm all about developing intimate connections nadhani ndio maana huwa naona siwezi kuwa na mtu yoyote tu randomly na pia pengine nlivolelewa kuna kamchango in that, being one-woman's guy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na pisi moja sio kazi kwangu hata kwa miaka 10 tunaweza ishi kama one-to-one function. I been a one woman guy for years. Kinacholeta utata ni huwa sipendi mwanamke aninyanyase in any way!

Sharti ni moja tu nikitaka mbunye asianze viji sababu vya kinaa vile mara oh nimechoka..,we kila siku unataka tu...,ntakupa asubuhi!

Ukiona umeanza usumbufu kunipa tunda mpaka tuanze kutongozana upya ni swala la muda tu😅 we jiandae kisaikolojia.
 
Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.

tujitahidi
Asikwambie mtu nimejitahidi kutulia na mwanamke mmoja lakini kila wakati naambulia maumivu, tukiachana na huyu tuna shikana na huvu mwisho wa siku naye tunaachana, ukweli uhuni unafundishwa nataka nibadirike kama washikaji walivyo nishauri, sitaki kuwa na mmoja te,
 
Kuwa na pisi moja sio kazi kwangu hata kwa miaka 10 tunaweza ishi kama one-to-one function. I been a one woman guy for years. Kinacholeta utata ni huwa sipendi mwanamke aninyanyase in any way!

Sharti ni moja tu nikitaka mbunye asianze viji sababu vya kinaa vile mara oh nimechoka..,we kila siku unataka tu...,ntakupa asubuhi!

Ukiona umeanza usumbufu kunipa tunda mpaka tuanze kutongozana upya ni swala la muda tu😅 we jiandae kisaikolojia.
uzoefu kama wangu!

Girlfriend/Mke anapotaka kuwa Dada, vema atafute Kaka. Not for me!
 
Back
Top Bottom