Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Ushauri mzuri sana lkn kama una mwanamke anakujali na kuheshimu uwepo wako kama tofauti pigisha alaf kama una kibamia kwa nn ujidharirishe unajitangaza mmoja akijua n vzr,
 
Mtaa nilioamia kuna demu mkali alafu nasikia Stori ananitajataja sn,anaulizia watu km Nina mtu au la maana ametoka kunipenda.Sasa mleta mada hivi ndy uko na mwanamke wako alafu ukasikia Stori km hizi kuna mtoto mkali anakutaka unaanzaje kujizuia na nguvu za kiume unazo?

Kuna uwezekano mkubwa nikajiangusha kwenye box la penalty wallah

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mrejesho
 
Dah shetani wa ngono ni mbaya kisechu yaan, ukitoka kubonda dem, ukikutana na dem mwingine chuma inainuka Tena, yaani ni bandika bandua.

Ila tutaoa tu, hata ikiwezekana Dua za kuomba na kufunga🙏
 
Back
Top Bottom