Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
Acha tu hizi helaAlafu ongezea na vihela, yaani vinaongeza uzinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu hizi helaAlafu ongezea na vihela, yaani vinaongeza uzinzi
[emoji23][emoji23][emoji23]witty acha kuzingua! Tupo lakini tumebaki wachache sanaaaa!Hapana wengi sana...hizi ni storee za humu tu! Uhalisia wako tofauti
Sio discipline ni ujingaKutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
Aaaah wapi wengi sana waaminifu...labda demu uzingue![emoji23][emoji23][emoji23]witty acha kuzingua! Tupo lakini tumebaki wachache sanaaaa!
Unaweza ukawa na hiyo discipline lakini bado ukapigiwa tuKutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
Sasa nikwambie kitu Kama umeoa na mna watoto basi mkeo anakuvumilia kwasababu ya watoto nothing moreNimeshindwaaga kuacha kuchepuka na nimeshafumaniwaga na amekuwa wakunisamehaga kilaa leo
Sasa hao wenzio Yesu hawamtaki ndo maana wanaona ni kiwaidaHata mimi kama isingekuwa Yesu kunifungia Speed gavana nadhani ningekwama
Wana roho ngumuSasa hao wenzio Yesu hawamtaki ndo maana wanaona ni kiwaida
Ndo hivyo mkuu, huku jf tunadanganyana tu Ila uhalisia ndo huo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Umemaliza Mkuu mwenye maskio na asikieHii issue ya kuwa na side check ni hatari kiroho na kimwili. Wanaume au wanawake wengi hawafanikiwi kwenye ulimwengu wa roho na baadaye ku manifest mwenye mwili hasa kwenye shughuli za uzalishaji na kazi. Kutembea na mwanamke au mwanaume mwingine kiholela unaingiza maroho ambayo yanaleta mikosi kwenye maisha yako. Adam alipomjua hawa tu, alianza kuona mema na mabaya. Kiroho mikosi mingi unayoipata sio wote utokana na roho ya ukahaba kwani sio wanaume au wanawake wote ni salama hasa ukishafunga pingu za maisha.
Nawashauri wanandoa wajikite kwenye shughuli za kufikiria maendeleo na sio papucha tu.
Chrismas njema
Wapo wanaume wanaotulia na K moja...tena wengi sana sana
Kutulia kutungiwe sheria yake mahsusiKutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.
tujitahidi
Kweli tena twin...sema ukisoma humu unaweza hisi wanaume wote ni washenzi kumbe waala!Hapa kwenye wengi sana nakukatalia Twin[emoji3]
Kweli tena twin...sema ukisoma humu unaweza hisi wanaume wote ni washenzi kumbe waala!
Mambo ni tofauti kabisa na kitaa
Ukitulia na mwanamke mmoja unajitengenezea ticking bomb, unajipa ugonjwa wa oneitis,ukishakua na huo ugonjwa kwisha habari yako...narudia tafuta wanaume wote walotulia na mwanamke mmoja walikuja kupigwa na tukio moja wengine wakajitundika...Hii issue ya kuwa na side check ni hatari kiroho na kimwili. Wanaume au wanawake wengi hawafanikiwi kwenye ulimwengu wa roho na baadaye ku manifest mwenye mwili hasa kwenye shughuli za uzalishaji na kazi. Kutembea na mwanamke au mwanaume mwingine kiholela unaingiza maroho ambayo yanaleta mikosi kwenye maisha yako. Adam alipomjua hawa tu, alianza kuona mema na mabaya. Kiroho mikosi mingi unayoipata sio wote utokana na roho ya ukahaba kwani sio wanaume au wanawake wote ni salama hasa ukishafunga pingu za maisha.
Nawashauri wanandoa wajikite kwenye shughuli za kufikiria maendeleo na sio papucha tu.
Chrismas njema
Sawà mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1][emoji1]
Uache kuotaa sasa
Hao wa mtaani ndio wapo huku piaKweli tena twin...sema ukisoma humu unaweza hisi wanaume wote ni washenzi kumbe waala!
Mambo ni tofauti kabisa na kitaa
Kwahiyo we ni kicheche?Hao wa mtaani ndio wapo huku pia
Amini nakwambia sister angu
Sisi ndio wenye jinsia yetu tunajijua