Matusi na dharau umeacha!!?..fanya mjadala na wengine sheikhNimekuita kwenye mjadala unaniletea hoja ya vinamba namba, swala kwa mujibu wa quran iko wapi!?.
Umar amepinga hadithi za mtume? kuandikwa miaka 150 baada ya kufa kwa mtume kuna ubaya gani ikiwa wakati wake na wakati wa maswahaba hakukuwa na haja ya kufanya hivyo? kabla hujakimbilia kwenye hadithi kwanini haushangai quran kukusanywa baada ya kufa kwa mtume kwa miaka kadhaa?.
Nimekutukana wapi? huwezi kuendelea kupotosha watu humu kisha ukanyamaziwa, wapi ulipotukanwa? leta hapa ushahidi maana comments zangu hazijafutwa.Matusi na dharau umeacha!!?..fanya mjadala na wengine sheikh
Kakwambia nani Qur'an imekusanywa baada ya mtume kufa!!.Nimekuita kwenye mjadala unaniletea hoja ya vinamba namba, swala kwa mujibu wa quran iko wapi!?.
Umar amepinga hadithi za mtume? kuandikwa miaka 150 baada ya kufa kwa mtume kuna ubaya gani ikiwa wakati wake na wakati wa maswahaba hakukuwa na haja ya kufanya hivyo? kabla hujakimbilia kwenye hadithi kwanini haushangai quran kukusanywa baada ya kufa kwa mtume kwa miaka kadhaa?.
Leta ushahidi kuwa quran imekusanywa wakati mtume yuko hai.Kakwambia nani Qur'an imekusanywa baada ya mtume kufa!!.
QUR'AN 25:5-6Leta ushahidi kuwa quran imekusanywa wakati mtume yuko hai.
Aisee unaelewa unachokiandika au unakuu aya tu? nakwambia hivi leta ushahidi kuwa quran imekusanywa mtume swala na salaam ziwe juu yake akiwa hai, ama hiyo aya haihusiani na mada yetu acha kujizima data basi mkuu?.QUR'AN 25:5-6
Na wakasema hivi ni visa vya watu wa kale 'alovyoviandikisha',anasomewa asubuhi na jioni
Je hao manusura wanaenda kuswali? Unajua najisi ni nini?SAwa shekhe lakini..Mbwa tunawaona wanatumika hawajafunikwa pia Wala midomo Yao sasa hiyo najisi Inaepukika vp wakati hao Mbwa wananussa mpaka sehemu manusura walipo
Naomba unifafanulie jinsi jua linavyoenda kusujudu kwa Mungu.Ulamaa ni watu wenye daraja kubwa tunaweza kusema ni encyclopedia zinazotembea hapa ardhini, na mimi najitakasa sijafikia daraja yao, ninachokifanya hapa ni kusafisha upotoshaji tu basi.
Si huwa wanamwita haramu hasa ile pua yake au kitabu kimeshafanyiwa marekebisho siku hizi?Mbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki.
Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata uelewa siyo vita.
Kama vitu hujui uliza, waislam wamefundishwa jinsi ya kuishi na hao viumbeMbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki.
Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata uelewa siyo vita.
Ebu kajifunze kuandika kwanza halafu njoo tenaHuyo Kama ni kadiri na anajua mbwa ni nahisi basi anajua hivyo kwa kuwa waislam wanasema hivyo,lakini Qur'an 5:4 inasemaje!?
Tusi liko wapi?Matusi Tena sheikh wangu!!!?..wajinga na wapotofu ni wewe na wenzako mnaofuata maneno ya watu na kumzulia Allah uwongo Kisha mkasema haya yanatoka kwa Allah
Najua kuandika kabla hata mama yako hajavunja ungo sheikhEbu kajifunze kuandika kwanza halafu njoo tena
Kijana kua na adabu basi sasa mama angu ameingiaje apo?Najua kuandika kabla hata mama yako hajavunja ungo sheikh
Ni ukweli hata Kama kafariki siku nyingi.. siwezi kuomba Radhi,siombi Radhi wasio waungwana,watusi,watu wa dhihaka,kejeli na dharauKijana kua na adabu basi sasa mama angu ameingiaje apo?
Isitoshe mama ameshafariki zamani sanaa
Kwa hili niombe radhi kijana
Mungu atanilipia sina maneno mengiNi ukweli hata Kama kafariki siku nyingi.. siwezi kuomba Radhi,siombi Radhi wasio waungwana,watusi,watu wa dhihaka,kejeli na dharau
Mimi pia atanilipia kwa matusi yako uliyonitusi awaliMungu atanilipia sina maneno mengi
Je utamla mnyama bila kumsafisha..Mbwa anapokamata mawindo je mate hayawezi kugusa mawindo?
Iweje nyama iliyokamatwa na mbwa sio najisi?
Mwawindo ya najisi yalipaswa yawe najisiJe utamla mnyama bila kumsafisha..
Unajua najisi lakini?
Elimu yangu ndogo mbwa anasaidia kwenye kuwinda, anasaidia kukamata, kisha wewe unamcchinja kisha unamfanyia utaratibu woote, kumchuna ngozi, kumsafisha, kumpika na kumla...
Mnyama akishauwawa na mbwa si kibudu hicho?
Mbwa anakamata, utachinja, nyama utaiosha na utaila..
Kwani hiyo najisi ya mbwa haisafishiki, mtu si anajisafisha na anaenda kwenye ibada, ndio itakuwa msosi?!!