Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Sawa . . . Ila huwezi linganisha na Mkuu wa Usalama wa taifa
 
Khaa . . . Promotion ?

Katibu Mkuu kiongozi ni mkubwa sana aisee. It's like the second vice president.
.Ni mkubwa mno
 
Khaa . . . Promotion ?

Katibu Mkuu kiongozi ni mkubwa sana aisee. It's like the second vice president.
.Ni mkubwa mno
Sijabisha katibu mkuu kiongozi ni mtu mkubwa sana akiwa kama head of civil service makatibu wakuu wote yeye ndio boss wao na idara zote za serikali.

Na katibu wa Ikulu pia sio mtu mdogo yeye ndio ana control maswala ya Ikulu including taarifa za katibu mkuu kwa raisi; sasa nani mkubwa kati ya hao wawili inategemea na nchi.

Ila tulipo kopa katiba chief of staff ni mkubwa zaidi ya katibu mkuu kiongozi. Sijasema na Tanzania ni hivyo.

Either way kwa Diwani ni promotion (on paper) kutoka kuongoza Idara, kwenda Ikulu.
 
All in All amepigwa NDOIGE aka SUGUNYO PELESO PELESO na MAZERI.
 
Hivi kuondoka kwa Diwani ndio TISS itakua Bora ?

Tunataka mabadiliko ya sura ya mtu au mabadiliko ya kitaasisi ?
Utapataje mabadiliko ya kitaasisi bila kufanya mabadiliko ya watu!?,in normal sense unaweza kuimbia taasisi badilika bila kudeal na staffs ambapo kimsingi inabidi uanze na shina kama hivyo ulivyofanyika kuanza na DG wengine watafuatia..Ubora wa taasisi unatokana na ubora wa kiutendaji hata CIA ilikuwa bora zaidi ya sasa kipindi cha Dulles kama FBI ilivyokuwa moto enzi za J.EDGAR HOOVER
 
Tofautisha kati ya Katibu Mkuu Kiongozi KMK na Katibu Mkuu Ikulu

Diwani ni Katibu Mkuu Ikulu
 
Tofautisha kati ya Katibu Mkuu Kiongozi KMK na Katibu Mkuu Ikulu

Diwani ni Katibu Mkuu Ikulu
Kwa kizungu mmoja ni chief of staff na mwingine ‘cabinet secretary’ hapo Ikulu.

Sasa chief of staff na secretary, kwenye jengo moja nani mkubwa. Kwa akili ya kawaida tu. Hakuna mtu mkubwa Ikulu nyingi duniani kwa civil servants kumzidi chief of staff (sijasema na Tanzania ni ivyo ovyo).
 
Wakati Dulles anakuwa Director wa CIA, kaka yake John Dulles alikuwa amestaafu kwa ugonjwa kuwa Secretary of State wa Marekani. Ni incident iliyotokea kaka wawili wako na vyeo nyeti serikalini, the Dulles Brothers
 
Aliyeharibu Mwendazake.
Kabla ya kupata uDG , lazima alikuwa handled na mtu ndani ya Taasisi.
Ikawaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…