Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Ngoja akapige soga na propesaNadhani kashuka, kule alikuwa Boss,huku amekuja kuwa kiranja tu wa pale magogoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja akapige soga na propesaNadhani kashuka, kule alikuwa Boss,huku amekuja kuwa kiranja tu wa pale magogoni
Kashuka sana.Wala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
It's true mr JF Fact checker!!!!💪💪🤗🤗Wakati Dulles anakuwa Director wa CIA, kaka yake John Dulles alikuwa amestaafu kwa ugonjwa kuwa Secretary of State wa Marekani. Ni incident iliyotokea kaka wawili wako na vyeo nyeti serikalini, the Dulles Brothers
Kaweka neutral kwenye mlimaWala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .
Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?
Natanguliza shukrani .
Chief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.
Nchi nyingine hasa zenye unitary constitution kama muundo wa UK (ambao tume-copy) ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).
In other words Diwani Athumani hiyo ni promotion.

Ni kweli mkuu, ila TISS ipo OR kwa Waziri Mhagama hivyo wanaripoti kwa Waziri kupitia Katibu Mkuu wake. Je KM huyo ni KMK au KM Ikulu..Kwa TzvChief of Staff ni Katibu Myeka wa Raisi?
..Katibu Mkuu wa Ikulu ni tofauti na Katibu Myeka au Chief of Staff. Na ni nafasi kubwa zaidi ya hiyo.
..Ila sidhani kama Katibu Mkuu wa Ikulu ni cheo kikubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa.
..Mkuu wa Usalama wa Taifa ni kati ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni idara kubwa inakaribiana na jeshi la Polisi.
Kaka Pohamba ,hapa umewaacha hawa vizazi vya bongo fleva njia panda.Nendeni mkajifunze historia mjue Dr Hassy Kitine na Mzena baada ya kutoka kuwa ma DG wa TISS walipelekwa wapi?
Katibu Mkuu Ikulu sio cheo cha mchezo mchezo Dunia nzima
hadhi ya Balozi ni ndogo kuliko hadhi ya Katibu Mkuu wa Foreign affairs
hadhi ya Katibu Ikulu ni kubwa kuliko Katibu wa Wizara yeyote
wafuasi wengi wa mbowe ni wapumbavu
Ni kweli mkuu, ila TISS ipo OR kwa Waziri Mhagama hivyo wanaripoti kwa Waziri kupitia Katibu Mkuu wake. Je KM huyo ni KMK au KM Ikulu
Katibu Myeka ndio nasikia leo hilo neno Myeka ila sidhani ndio chief staff. Katibu wa Ikulu ndio mkuu wa shughuli za Ikulu that equates to ‘chief of staff’...Kwa TzvChief of Staff ni Katibu Myeka wa Raisi?
..Katibu Mkuu wa Ikulu ni tofauti na Katibu Myeka au Chief of Staff. Na ni nafasi kubwa zaidi ya hiyo.
..Ila sidhani kama Katibu Mkuu wa Ikulu ni cheo kikubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa.
..Mkuu wa Usalama wa Taifa ni kati ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni idara kubwa inakaribiana na jeshi la Polisi.
That’s the fact boss wa IGP ni katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani...Yes and No.
..Ni sawa na kusema Igp yuko chini ya wizara ya mambo ya ndani hivyo anaripoti wa KM Mambo ya Ndani.
..Mkurugenzi Mkuu Tiss anaongoza chombo cha Usalama, naamini anaripoti moja kwa moja kwa Raisi, na ndio mamlaka yake ya nidhamu.
Ndugu Execute , leo hii kweli hiyo taasisi ndiyo imekuwa imara sana zaidi ya enzi hizo!!!??Wote hao mzena na kitine ni enzi za zamani kabla usalama haujawa taasisi imara kama miaka hii. Kwa miaka ya karibuni tumeona wakipelekwa nje kwenye balozi.
Hapo ukiangalia vizuri huyu Diwani ataanza kuwa chini ya aliyekuwa msaidizi wake kwenye masuala ya usalama. Sio afya sana kwa taifa.
Ukicheki wavuti ya KMK , jukumu lake namba tatu ni "Address Operational issues of TISS and PCCB"..Yes and No.
..Ni sawa na kusema Igp yuko chini ya wizara ya mambo ya ndani hivyo anaripoti wa KM Mambo ya Ndani.
..Mkurugenzi Mkuu Tiss anaongoza chombo cha Usalama, naamini anaripoti moja kwa moja kwa Raisi, na ndio mamlaka yake ya nidhamu.
Katibu Myeka ndio nasikia leo hilo neno Myeka ila sidhani ndio chief staff. Katibu wa Ikulu ndio mkuu wa shughuli za Ikulu that equates to ‘chief of staff’.
Katibu wa wizara ya mambo ya ndani on paper ni mkubwa kuliko mkuu wa idara ya usalama na katibu mkuu kiongozi ndio boss wao ambae yupo Ikulu.
Chief Staff ndio head ndani ya Ikulu wa watumishi wote kila anachoambiwa raisi na yeye anatakiwa kukijua na ndio mshsuri wake mkuu kwenye maamuzi na nchi nyingi anaingia vikao vya baraza la mawaziri kwa sababu kila anachoshauriwa raisi na yeye lazima akijue.
Hakuna chief of staff wa raisi, bali Ikulu...Katibu Myeka ndio Chief of Staff wa Raisi.
..Ndio afisa anayedhibiti Ratiba ya Raisi na ndiye mkuu wa Ofisi ya Raisi.
..Makatibu Myeka wa Raisi waliopita ni kama Major.Joseph Butiku wa Mwalimu; Balozi Daraja wa Mzee Mwinyi; Balozi Mombo wa Mkapa...
..Pia Ikulu kuna afisa anaitwa Mnikulu au State House comptroller huyo naye ana majukumu Ikulu zote hapa nchini.