Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

Wala hakuna tatizo lolote jamani , nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Tiss hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu , sijajua wapi ni juu .

Je sasa amepandishwa Cheo au Ameshushwa ?

Natanguliza shukrani .
Kashuka sana.
 
Wakati Dulles anakuwa Director wa CIA, kaka yake John Dulles alikuwa amestaafu kwa ugonjwa kuwa Secretary of State wa Marekani. Ni incident iliyotokea kaka wawili wako na vyeo nyeti serikalini, the Dulles Brothers
It's true mr JF Fact checker!!!!💪💪🤗🤗
 
..Kwa TzvChief of Staff ni Katibu Myeka wa Raisi?

..Katibu Mkuu wa Ikulu ni tofauti na Katibu Myeka au Chief of Staff. Na ni nafasi kubwa zaidi ya hiyo.

..Ila sidhani kama Katibu Mkuu wa Ikulu ni cheo kikubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa.

..Mkuu wa Usalama wa Taifa ni kati ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni idara kubwa inakaribiana na jeshi la Polisi.
 
Katibu wa ikulu anakuwaje mkubwa kuliko katibu Mkuu kiongozi? Katibu kiongozi ndio mkuu wa utumishi serikalini na pia ndiye katibu wa baraza la mawaziri.
 
..Kwa Tz Chief of Staff ni Katibu Myeka wa Raisi.

..Katibu Mkuu wa Ikulu ni tofauti na Katibu Myeka au Chief of Staff. Na ni nafasi kubwa zaidi ya hiyo.

..Ila sidhani kama Katibu Mkuu wa Ikulu ni cheo kikubwa kuliko Mkuu wa Usalama wa Taifa.

..Mkuu wa Usalama wa Taifa ni kati ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni idara kubwa inakaribiana na jeshi la Polisi.
 
Ni kweli mkuu, ila TISS ipo OR kwa Waziri Mhagama hivyo wanaripoti kwa Waziri kupitia Katibu Mkuu wake. Je KM huyo ni KMK au KM Ikulu
 
Kaka Pohamba ,hapa umewaacha hawa vizazi vya bongo fleva njia panda.

Nimefurahi kukuona tena jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, ila TISS ipo OR kwa Waziri Mhagama hivyo wanaripoti kwa Waziri kupitia Katibu Mkuu wake. Je KM huyo ni KMK au KM Ikulu

..Yes and No.

..Ni sawa na kusema Igp yuko chini ya wizara ya mambo ya ndani hivyo anaripoti wa KM Mambo ya Ndani.

..Mkurugenzi Mkuu Tiss anaongoza chombo cha Usalama, naamini anaripoti moja kwa moja kwa Raisi, na ndio mamlaka yake ya nidhamu.
 
Katibu Myeka ndio nasikia leo hilo neno Myeka ila sidhani ndio chief staff. Katibu wa Ikulu ndio mkuu wa shughuli za Ikulu that equates to ‘chief of staff’.

Katibu wa wizara ya mambo ya ndani on paper ni mkubwa kuliko mkuu wa idara ya usalama na katibu mkuu kiongozi ndio boss wao ambae yupo Ikulu.

Chief Staff ndio head ndani ya Ikulu wa watumishi wote kila anachoambiwa raisi na yeye anatakiwa kukijua na ndio mshsuri wake mkuu kwenye maamuzi na nchi nyingi anaingia vikao vya baraza la mawaziri kwa sababu kila anachoshauriwa raisi na yeye lazima akijue.
 
..Yes and No.

..Ni sawa na kusema Igp yuko chini ya wizara ya mambo ya ndani hivyo anaripoti wa KM Mambo ya Ndani.

..Mkurugenzi Mkuu Tiss anaongoza chombo cha Usalama, naamini anaripoti moja kwa moja kwa Raisi, na ndio mamlaka yake ya nidhamu.
That’s the fact boss wa IGP ni katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani.

Ndio maana hiyo wizara ni sensitive sana, katibu mkuu wake ni afisa usalama nchi nyingi matter of fact top senior civil servants wote nchi za wenzetu ni maafisa usalama kwa sababu wana deal na siri za nchi.

Sisi tumearibu mfumo kutoka huko tulipo copy au kutokuelewa ascendency ya kufika kuwa katibu mkuu wa wizara, kwingine hizo ni very sensitive posts na kufika hapo sio shughuli ndogo kabisa, ukistaafu wengi wanaishia kwenye board za mashirika makubwa.
 
Ndugu Execute , leo hii kweli hiyo taasisi ndiyo imekuwa imara sana zaidi ya enzi hizo!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Yes and No.

..Ni sawa na kusema Igp yuko chini ya wizara ya mambo ya ndani hivyo anaripoti wa KM Mambo ya Ndani.

..Mkurugenzi Mkuu Tiss anaongoza chombo cha Usalama, naamini anaripoti moja kwa moja kwa Raisi, na ndio mamlaka yake ya nidhamu.
Ukicheki wavuti ya KMK , jukumu lake namba tatu ni "Address Operational issues of TISS and PCCB"

Bila shaka masuala yasiyo operational yatakua chini ya mamlaka ya uteuzi

Nadhani utaratibu huo unaatumika pia kwa IGP na KM wao wa Mambo ya Ndani
 
..Katibu Myeka ndio Chief of Staff wa Raisi.

..Ndio afisa anayedhibiti Ratiba ya Raisi na ndiye mkuu wa Ofisi ya Raisi.

..Makatibu Myeka wa Raisi waliopita ni kama Major.Joseph Butiku wa Mwalimu; Balozi Daraja wa Mzee Mwinyi; Balozi Mombo wa Mkapa...

..Pia Ikulu kuna afisa anaitwa Mnikulu au State House comptroller huyo naye ana majukumu Ikulu zote hapa nchini.
 
Hakuna chief of staff wa raisi, bali Ikulu.

So katibu wa Ikulu ndio chief of staff in any state house.

Anyway tuna utaratibu wetu wa kufanya mambo ila waliotunga huo mfumo tulio copy ndio wanavyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…