Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

sisi kwetu matiti sio sex organ, mama anatoa titi lake sokoni ananyonyesha mwanawe, eti ooooh kila kiungo cha mwanamke ni uchi, kafieni mbali huko. tunakwenda shule Marekani wasichana wamevaa vipensi vifupi mpaka pacha ya miguu unaiona lakini hakuna mtu anagusa wala kutamani. Kuna watu wanataka wasaidiwe na wanawake kwenda peponi. Eti mwanamke asitoe sauti, avae hijab, afiche uso na macho yake, avae soksi miguuni na juba gubigubi la sivyo kidume hakiendi mbinguni, swine!!
 
Kavulata umeongea jambo la msingi sana.
 
Kwa hiyo tukubaliane kwamba shida sio Mungu ila ni sisi tu ndo tuna shida kuamulia watu wamfuate Mungu kwa nguvu.
 
Sasa mbona wanaume wanazaliwa na magovi?jee kuyakata ni kumsahihisha Mungu katika uumbaji wake wa mwanaume?
Kwani usipokatwa govi mbingun huwendi? Na nitakua nimevunja amri ipi nispo katwa govi kwa mfano?
 
Hadi hapa umeshajionesha ni jinsi gani usivyo na akili na hujui mambo yalianzia vipi na hijab ilikuwaje ikafikia kuvaliwa. Na hata maana ya hijab huijui vyema.

Siku nyingine kuliko kujidhalilisha hivi ni bora ukauliza ueleweshwe
 
Muelekeza mtunzi wa hijab ni Umar

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Umeongea ukweli kabisa kwanza mwanamke akijistiri anapendeza sana
 
Akipendeza muislamu wa kiume anamtamani tena , Yani ni full kutamani
Kuna namna inatakiwa ivaliwe pia hta namna ya kuongea kwa mtoto wa kike kilakitu kimefundisha ni vile tu ni wabishi tu

Lkn pia haifanani anapendeza lakini kutamaniwa akiwa kwenye stara sio kma akitembea nusu uchi
 
Kumbuka Umar alipo leta swala la hijab ni kuwa wake zake Muhammad walikuwa wanavaa nusu uchi mpaka wakawa wanatamaniwa , sasa kama unasema akivaa pia hijab tamaa ipo pale pale hapo ni kuwarekebisha wanaume waache na WA control tamaa zao
 
Nimezungumzia now hatuvai namna zilivoamrishwa zivaliwe manakshi nakshi ni mengi kias kutamanisha ndo lengolangu lilikuwa hapo
Kumbuka Umar alipo leta swala la hijab ni kuwa wake zake Muhammad walikuwa wanavaa nusu uchi mpaka wakawa wanatamaniwa , sasa kama unasema akivaa pia hijab tamaa ipo pale pale hapo ni kuwarekebisha wanaume waache na WA control tamaa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…