Lakini marekani akiungana na israeli hapo umekuwa uonevu [emoji23][emoji16]
Sijui, assist me to know pleaseUnaijua implication ya Israel kufutika kwenye uso wa dunia?
Sijui, assist me to know please
Israel anafahamika na nani kama ni mzaliwa wa kwanza?Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Kasome kumbukumbu la torati 28, utaelewa kwa Nini wanagombania nchi Yao wenyewe,kwa Nini wanatumika sana na mataifa makubwa,na ni kwa Nini hawajiamini hao IsraelitesKitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
soma Q'RAN tukufu "suratul ban israil" utapata jibu!!!!Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Mkuu, mimi nimeshaweka andiko hapo chini, na wewe unaweza kuweka hiyo aya unayoisema..soma Q'RAN tukufu "suratul ban israil" utapata jibu!!!!
Israel sio wakristo wenzako hiyo 1.9% hapo hao sio waisrael ila wageni kutoka ulaya na nchi zingineHello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Ni wapi nimesema ni wakristo wenzangu, nimesema Israel kama Israel hayo mengine umesema wewe...Israel sio wakristo wenzako hiyo 1.9% hapo hao sio waisrael ila wageni kutoka ulaya na nchi zingine
Kama ungewazungumzia wazungu ingekuwa vizuri maana ni wakristo wenzako
The religious affiliation of the Israeli population as of 2022 was 73.6% Jewish, 18.1% Muslim, 1.9% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.8% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí, as well as "religiously unclassified".[4]
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Tanzania hii iliyojaa majizi, mafisadi na mapiga dili kubwakubwa ikiwemo ile ya diipiii wedii ndo iwe taifa teule la Mungu?Inaashiria kwamba ufalme wa Muumba umeshahama kama alivyosema Yesu miaka 2000 iliyopita kuwa utahamia taifa lingine.
Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Na taifa hilo ni Tanzania [emoji1241] yaani taifa Baba israel lilikuwa taifa mwana aliposhukia Yesu.
mzaliwa wa kwanza wa???Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Wanapowakamata waisrael wana proclaim maneno 'allah akbar' hapo tayari wanaingiza vita ya kimiungu.......sasa kwenye vita kati ya Mungu wa Israel na miungu mingine ya dunia huwa inajulikana mshindi ni nani.
Kwa sisi wajuvi tunajua hii ni ishara mbaya sana kwa dunia maana Mungu anapoinuka kulipiza kisasi kwa ajili ya Israel dunia nzima huwa inaingia kwenye msukosuko.
Mungu yupi unayemuongelea?
Kwa hiyo Allah anayetajwa hapo ndo Mungu wa Israel?Unaandika maneno haya halafu unasema nawe ni ‘Mjuvi’, how?!
Allah Akbar - God is Great - Mungu ni Mkubwa…..
Kwamba haya maneno yanaashiria vita ya kimiungu?
Tanzania hii iliyojaa majizi, mafisadi na mapiga dili kubwakubwa ikiwemo ile ya diipiii wedii ndo iwe taifa teule la Mungu?
Wewe unasemaje?Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Kwa hiyo Allah anayetajwa hapo ndo Mungu wa Israel?