Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Lakini marekani akiungana na israeli hapo umekuwa uonevu [emoji23][emoji16]
Wanapowakamata waisrael wana proclaim maneno 'allah akbar' hapo tayari wanaingiza vita ya kimiungu.......sasa kwenye vita kati ya Mungu wa Israel na miungu mingine ya dunia huwa inajulikana mshindi ni nani.

Kwa sisi wajuvi tunajua hii ni ishara mbaya sana kwa dunia maana Mungu anapoinuka kulipiza kisasi kwa ajili ya Israel dunia nzima huwa inaingia kwenye msukosuko.​
 
Sijui, assist me to know please
Mungu anapotaka kudhihirisha ukuu wake kwa mataifa anatumia taifa la Israel ndo maana anasema 'Israel ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu' hivyo hakuna communication ambayo Mungu atafanya na dunia bila uwepo wa Israel. Kwa maana nyingine kufutika kwa Israel kwenye uso wa dunia ndo itakuwa tamati ya hii dunia unayoijua leo.​
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Israel anafahamika na nani kama ni mzaliwa wa kwanza?
 
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
Kasome kumbukumbu la torati 28, utaelewa kwa Nini wanagombania nchi Yao wenyewe,kwa Nini wanatumika sana na mataifa makubwa,na ni kwa Nini hawajiamini hao Israelites
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
soma Q'RAN tukufu "suratul ban israil" utapata jibu!!!!
 
Mkuu, mimi nimeshaweka andiko hapo chini, na wewe unaweza kuweka hiyo aya unayoisema..

Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Israel sio wakristo wenzako hiyo 1.9% hapo hao sio waisrael ila wageni kutoka ulaya na nchi zingine

Kama ungewazungumzia wazungu ingekuwa vizuri maana ni wakristo wenzako

The religious affiliation of the Israeli population as of 2022 was 73.6% Jewish, 18.1% Muslim, 1.9% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.8% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí, as well as "religiously unclassified".[4]
 
Ni wapi nimesema ni wakristo wenzangu, nimesema Israel kama Israel hayo mengine umesema wewe...
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​

Hio ni fake Israel real Israel taifa takatifu lipo Africa,ipo siku tutaelewa
 
Inaashiria kwamba ufalme wa Muumba umeshahama kama alivyosema Yesu miaka 2000 iliyopita kuwa utahamia taifa lingine.

Mathayo 21:43

Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Na taifa hilo ni Tanzania [emoji1241] yaani taifa Baba israel lilikuwa taifa mwana aliposhukia Yesu.
 
Tanzania hii iliyojaa majizi, mafisadi na mapiga dili kubwakubwa ikiwemo ile ya diipiii wedii ndo iwe taifa teule la Mungu?
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
mzaliwa wa kwanza wa???
 
Wanapowakamata waisrael wana proclaim maneno 'allah akbar' hapo tayari wanaingiza vita ya kimiungu.......sasa kwenye vita kati ya Mungu wa Israel na miungu mingine ya dunia huwa inajulikana mshindi ni nani.

Kwa sisi wajuvi tunajua hii ni ishara mbaya sana kwa dunia maana Mungu anapoinuka kulipiza kisasi kwa ajili ya Israel dunia nzima huwa inaingia kwenye msukosuko.​

Unaandika maneno haya halafu unasema nawe ni ‘Mjuvi’, how?!

Allah Akbar - God is Great - Mungu ni Mkubwa…..
Kwamba haya maneno yanaashiria vita ya kimiungu?
 
Kwa hiyo Allah anayetajwa hapo ndo Mungu wa Israel?
 
Tanzania hii iliyojaa majizi, mafisadi na mapiga dili kubwakubwa ikiwemo ile ya diipiii wedii ndo iwe taifa teule la Mungu?

Kwa macho ya kawaida ndio unaona hivyo ila ndilo taifa teule na Chanzo cha baraka kwa mataifa yote.
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom