Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Nimekupa tafsiri ya maneno yanayokutia hofu.

Kuhusu Mungu wa wapi, hayo utajua mwenyewe.
Atakuwa tofauti, maana Mungu wa Israel huwa anapigana upande wa Israel na hata kama akiamua kuwaadhibu hutakiwi kushadadia hiyo adhabu yao maana itakurudia.
 
Gaidi ni nani? Nani anatoa hadhi ya Ugaidi? Ni vigezo gani vinatumika ku ''qualify'' ugaidi?
Ugaidi ni tukio/shambulizi lolote dhidi ya raia, askari (wakati wa amani) kwa nia ya kuwajengea hofu, kuwadhuru ili kutimiza malengo fulani ya kisiasa kwa kutumia nguvu.
 
Kwa kushindwa kutetea neno Ugaidi, nani anaidhinisha neno ugaidi, na vigezo gani vinatumiwa kujua gaidi kunatosha kabisa kufunga huu uzi.
Kwa msaada wa Chatgpt

Kumuita mtu gaidi ni jambo lenye uzito mkubwa na linahitaji uthibitisho wa kutosha. Vigezo vinavyotumika kutambua mtu kama gaidi vinaweza kuwa pamoja na:

1. Matumizi ya nguvu au vitisho vya kufanya vurugu: Mtu anaweza kuitwa gaidi ikiwa wanatumia nguvu au vitisho vya kufanya vurugu ili kufikia malengo yao ya kisiasa, kidini, au kiitikadi.

2. Ushirikiano na makundi ya kigaidi: Mtu anaweza kuhusishwa na vitendo vya kigaidi ikiwa wanashirikiana au kusaidia makundi au shirika la kigaidi.

3. Kushiriki katika mashambulizi ya kigaidi: Mtu anaweza kuitwa gaidi ikiwa wanahusika moja kwa moja katika kutekeleza mashambulizi ya kigaidi, kama vile miripuko au utekaji nyara.

4. Mafunzo au kuchochea ugaidi: Kusambaza elimu au kuchochea vitendo vya kigaidi kunaweza kumfanya mtu aitwe gaidi.

Ni muhimu kuelewa kuwa kutambua mtu kama gaidi mara nyingi ni mchakato wa kisheria na unaambatana na utaratibu wa kisheria wa nchi husika. Kwa hivyo, kutumia jina "gaidi" kwa mtu kunapaswa kufuata sheria na taratibu za nchi husika.
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Hata hao wanaojiita Waisraeli kwa sasa si original Hebrew, they are Khazarian and Turks mafias who occupied the land when real hebrews run away to save themselves against the Assyrians, then Babylon, then Greeks and later the Romans.

Tafuta kitabu Titled "From Babylon to Timbuktu" and the book titled "Thirteen tribe".

Also dig more about the color of the original Hebrews. Chimbua zaidi kuhusu the Bantu people, you will know the truth. The word Jews is a political inventions by the gentiles occupiers who accepted the religion and the language of the original hebrews, and now call themselves Israelis-descendants of Jacob

watch the below documentary if you can't access those two books and others like "The valley of the Dry Bones". They are listed in amazon

View: https://www.youtube.com/watch?v=NGpewrwBy0c
 
Mkuu, mimi nimeshaweka andiko hapo chini, na wewe unaweza kuweka hiyo aya unayoisema..

Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
soma
 
Hata hao wanaojiita Waisraeli kwa sasa si original Hebrew, they are Khazarian and Turks mafias who occupied the land when real hebrews run away to save themselves against the Assyrians, then Babylon, then Greeks and later the Romans.

Tafuta kitabu Titled "From Babylon to Timbuktu" and the book titled "Thirteen tribe".

Also dig more about the color of the original Hebrews. Chimbua zaidi kuhusu the Bantu people, you will know the truth. The word Jews is a political inventions by the gentiles occupiers who accepted the religion and the language of the original hebrews, and now call themselves Israelis-descendants of Jacob

watch the below documentary if you can't access those two books and others like "The valley of the Dry Bones". They are listed in amazon

View: https://www.youtube.com/watch?v=NGpewrwBy0c

Mzee hizo vitabu na documentary ni hadithi tu zinatungwa, usichukulie kama ni facts.
 
Mkuu kama una soft copy ya hicho kitabu naomba niwekee hapa.
 
Mzee hizo vitabu na documentary ni hadithi tu zinatungwa, usichukulie kama ni facts.
Hivyo vitabu si hadithi-fairly tales. Ni researched facts. Unapaswa kujua tofauti ya vitu hivyo viwili.

Hao mnaowaita waisraeli wa sasa ni product za aftermath ya vita vya crusades instigated by the roman pope, au hujui kuwa vita hivyo vilikuwepo?

also read Revelation 1:13-15 how Jesus (the Son of Man) looked like......His skin was like brass-Literally "shaba nyeusi" Biblia doesnt say he looked caucasian as the so called israelis today look like.
 
Lengo la dini ni kuleta uongofu kwa watu, lakini kwa Afrika Dini zimelete Upotofu! I'm so sorry to say this!
Sutajadili kwanini nasema hivi ! na wala sijadili mada yoyote kwa jicho la imani.

Ugaidi ni neno lililopoteza maana halisi, linatumika kuhalalisha 'justify' udhalimu dhidi ya Wengine

Ikiwa kuna Ugaidi, Marekani na nchi za Magharibi ndizo magaidi wakubwa!

Mzozo wa Palestina na Israel una zaidi ya karne, hivi karibuni ni miaka takribani 75.
Mzozo wa Usrael na Hamas una zaidi ya miaka 17. Leo watu wanadhani ni tukio la saa 72 zilizopita.

Mzozo ulianza baada ya HAMAS Kushinda Uchaguzi, Marekani ISRAEL na nchi za Magharibi zikakataa licha ya Mwangalizi Rais Jimmy Carter kusema HAMAS Wameshinda. Kilichofuata Israel ikaweka Gaza katika vikwazo.

Katibu mkuu UN akasema Gaza ni open air prison. Maji, Umeme na kila kitu kinafika Gaza kwa ruhusu ya Israel
Hakuna uhuru wa kutoka Gaza kwenda pengine ila kwa kibali cha Israel. Hakuna kuvua samaki bila kibali.

Tonny Blair , PM wa UK alisema hajawahi kuona eneo lenye dhiki na mateso kama Gaza

Israel wamepiga Gaza kila siku, na wanaofuatilia habari wanajua jinsi akina Mama wa Kipalestina wanavyopiga vifua kwa uchungu wa kuuliwa 'watoto wao wa miaka 0-15Years.

Israle wanasema hiyo ni '' Collateral damage'' yaani vifo visivyohusiana na vita au kwa kiswahili ' Vita haina macho''

Mwaka Jana Wapalestina 255 wamuawa na Israel! Mbona hatukuona nyuzi za kuongelea ugaidi?
Western Media hazikuonyesha! Eti leo tunasema kuna tatizo limetokea kwasababu lipo Israel!

Israel inalaani kuuawa kwa Mwanahabari! Mwaka Jana Israel ilimuua Shereen Abu Akleh wa Al Jazeera Dunia ikakaa kimya. Leo HAMAS ni magaidi kwa kuua mwanhabari, Israel iliyoua mwaka jana ni Taifa teule!

HAMAS wanaitwa magaidi kwa kurusha makombora, Israel wanapewa Bilioni 3 na Ultra modern military equipments na Marekani kuua Wapalestina! hilo hamlioni! Mumepumbazwa na neno ugaidi

Israel Imeua kiongozi wa Iran wa Nyuklia Mohsen Fakrizadeh, na kamanda wa majeshi Qasem Soleiman hilo watu hawakuona ni tatizo, leo Iran inaonekana tatizo!

Dunia yote inaona,si zaidi ya nchi 20 zimelaani tukio la juzi. Hii haina maana zingine zinakubaliana na mauaji, ina maana kwamba huwezi kulaani HAMAS kwa kuua watu wakati Israel Inaua kila siku na dunia imekaa kimya.

Israel ikiua Wapalestina , yenye na Marekani wana 'standard statement inayosema Israel has the right to defend' siyo kwamba inafanya ugaidi! HAMAS na Wapalestina nao wanasema 'they have the right to resist ''

Sikubaliana na maujai ya Raia wa aina au upande wowote, lakini msiwe 'blind folded' kwamba HAMAS wameanzisha tatizo na kwamba Israel wanaonewa! no! Fuatilieni habari kwa kina misikurupuke na headlines

JokaKuu The Boss
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti first born[emoji23][emoji23]please Go and read your Bible again. "The synagogue of Saturn " Jesus called them.
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Toa reference ya maandiko matakatifu yanayosema Israel ni mzaloliwa wa kwanza wa Mungu.
 
Acha kutupa ujinga wa kuwa Israel ndio mzaliwa wa kwanza wa Mungu
 
Back
Top Bottom