- Thread starter
- #61
Ni ishara mbaya sana kwa dunia, ukichukulia Israel ndo taifa teule la Mungu kwa mujibu wa maandiko.Wewe unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ishara mbaya sana kwa dunia, ukichukulia Israel ndo taifa teule la Mungu kwa mujibu wa maandiko.Wewe unasemaje?
Atakuwa tofauti, maana Mungu wa Israel huwa anapigana upande wa Israel na hata kama akiamua kuwaadhibu hutakiwi kushadadia hiyo adhabu yao maana itakurudia.Nimekupa tafsiri ya maneno yanayokutia hofu.
Kuhusu Mungu wa wapi, hayo utajua mwenyewe.
Atakuwa tofauti, maana Mungu wa Israel huwa anapigana upande wa Israel na hata kama akiamua kuwaadhibu hutakiwi kushadadia hiyo adhabu yao maana itakurudia.
Have you been offended by the facts😂😂, have nothing to help than telling the facts/truth.Take care of your Mental wellness, ni muhimu sana.
Ugaidi ni tukio/shambulizi lolote dhidi ya raia, askari (wakati wa amani) kwa nia ya kuwajengea hofu, kuwadhuru ili kutimiza malengo fulani ya kisiasa kwa kutumia nguvu.Gaidi ni nani? Nani anatoa hadhi ya Ugaidi? Ni vigezo gani vinatumika ku ''qualify'' ugaidi?
Kwa msaada wa ChatgptKwa kushindwa kutetea neno Ugaidi, nani anaidhinisha neno ugaidi, na vigezo gani vinatumiwa kujua gaidi kunatosha kabisa kufunga huu uzi.
Hata hao wanaojiita Waisraeli kwa sasa si original Hebrew, they are Khazarian and Turks mafias who occupied the land when real hebrews run away to save themselves against the Assyrians, then Babylon, then Greeks and later the Romans.Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
somaMkuu, mimi nimeshaweka andiko hapo chini, na wewe unaweza kuweka hiyo aya unayoisema..
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
Hata hao wanaojiita Waisraeli kwa sasa si original Hebrew, they are Khazarian and Turks mafias who occupied the land when real hebrews run away to save themselves against the Assyrians, then Babylon, then Greeks and later the Romans.
Tafuta kitabu Titled "From Babylon to Timbuktu" and the book titled "Thirteen tribe".
Also dig more about the color of the original Hebrews. Chimbua zaidi kuhusu the Bantu people, you will know the truth. The word Jews is a political inventions by the gentiles occupiers who accepted the religion and the language of the original hebrews, and now call themselves Israelis-descendants of Jacob
watch the below documentary if you can't access those two books and others like "The valley of the Dry Bones". They are listed in amazon
View: https://www.youtube.com/watch?v=NGpewrwBy0c
Hamasi wanajitosheleza awahitaji kuungana na wafiq (nchi za kiarabu)Hapo ni mwanzo tu, ila waarabu wataungana na kumchapa Israeli, Hali yake itafanana na hali ya Ukraine.
Hata hao wanaojiita Waisraeli kwa sasa si original Hebrew, they are Khazarian and Turks mafias who occupied the land when real hebrews run away to save themselves against the Assyrians, then Babylon, then Greeks and later the Romans.
Tafuta kitabu Titled "From Babylon to Timbuktu" and the book titled "Thirteen tribe".
Also dig more about the color of the original Hebrews. Chimbua zaidi kuhusu the Bantu people, you will know the truth. The word Jews is a political inventions by the gentiles occupiers who accepted the religion and the language of the original hebrews, and now call themselves Israelis-descendants of Jacob
watch the below documentary if you can't access those two books and others like "The valley of the Dry Bones". They are listed in amazon
View: https://www.youtube.com/watch?v=NGpewrwBy0c
Hivyo vitabu si hadithi-fairly tales. Ni researched facts. Unapaswa kujua tofauti ya vitu hivyo viwili.Mzee hizo vitabu na documentary ni hadithi tu zinatungwa, usichukulie kama ni facts.
sina mkuu. nimevisoma kupitia amazon kindle. hard copy ziko amazon.com. Hata nilivyonavyo ni hard copy tu.Mkuu kama una soft copy ya hicho kitabu naomba niwekee hapa.
✅Mzee hizo vitabu na documentary ni hadithi tu zinatungwa, usichukulie kama ni facts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti first born[emoji23][emoji23]please Go and read your Bible again. "The synagogue of Saturn " Jesus called them.Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Toa reference ya maandiko matakatifu yanayosema Israel ni mzaloliwa wa kwanza wa Mungu.Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.