Ndugu, epuka kushadadia usiyokuwa na ushahidi nayo! Epuka ushabiki wa kijinga!Mbowe alilewa waache kumfichia aibu
Kila mtu anajua Mbowe ni mlevi wa kutupwa
Mwambieni huyo mseminari Mnyika aache kubwabwaja
Usidanganye! Nina experience na watu wa aina yako! Mwandiko yako yanakueleza jinsi ulivyo nje-ndani!Nasukumwa na kukipenda chama kidhati TU...
Huwa unamuandalia eeh!Mbowe ni mlevi ni mzee wa konyagi
Mpare anawezaje kuwa Chief wa Wasukuma labda wa wamawia!!
Mara kadhaa nimewataka watumie mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kueneza agenda zao za Uchaguzi Mkuu lakini wanaendekeza lawama na shutuma dhidi ya Serikali. Sasa wanahangaika kumsafisha mlevi na fusuka
Hizi spinning za kipuuzi za chadema za tutaweka wazi video (ushahidi) niliacha kuziamini kwenye lile tukio la (ma)bomu na risasi Soweto, Arusha. Kile kipindi cha "DVR". Kama wanao uhalisia wa tukio wauweke vinginevyo chama kinajiendesha kihuni kutokea mifukoni mwa watu wachache.Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.
Asante sana mwenye akili za kungaunga na kushabikia yasiyofaaWewe huna akili
Huyo ni mpare wasukuma hawana jina la Mnyika!Huyo siyo mpare wewe wacha ushambaView attachment 1489652
Wenyewe wanakamsemo ccm ni mtoto wa kifuani chadema ni mtoto wa mgongoni... so, chadema watulie tu, watanyonyeshwa mama(police) akitaka, maana lazima amshushe wa kifuani kwanza.Polisi wataumbuka kwa Mara nyingine tena, Bahati mbaya wameshaongea wote, hawakuweka akiba, hakuna wa kusahihisha. Mbowe hakukanyaga 'Royal Village' siku hiyo na wameshatazama ushahidi wa camera za Royal Bila Shaka! Labda waje na zile CCTV za MO ambazo zinatoa picha za rangi!-Jon Mrema on twitter.
"RPC wa Dodoma kabla hajazungumza na vyombo vya habari, alfajiri ya tukio alikwenda hospitali pamoja na mazingira ya maumivu na matibabu aliyokuwa nayo Mbowe, alizungumza nae, alienda eneo la tukio, alijua undani wa tukio, ndio maana alikiri Mbowe amefanyiwa shambulio" -John Mnyika
Ya mo mmeishia kutikisa makalio tu kimya.yaani mteke wenyewe mchunguze wenyewe mishetani utaijua tu.Toweni hiyo video acheni blah blah!
Mpaka leo tunasubiri ile ya mabomu Arusha.
Mnyika hadhi yako inaporomoka kwa kasi sana, kila uchao...acha kutumika.[emoji116]View attachment 1489485
Vilaza ni wengi kweliHuyo ni mpare wasukuma hawana jina la Mnyika!
Asante sana mwenye akili za kungaunga na kushabikia yasiyofaa
kumbe alipitia kwa Joy! hiyo mpya sana Mkuu!Mbona hamtaji alikuwa anatokea wapi usiku huo?
Na ni.kwanini alikwenda kwa mukya kabla ya kwenda hospitali, utaratibu huo mke wa mbowe anaujua na alishatoa ruhusa kwa mbowe?