Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

Mbowe alilewa waache kumfichia aibu
Kila mtu anajua Mbowe ni mlevi wa kutupwa
Mwambieni huyo mseminari Mnyika aache kubwabwaja
Ndugu, epuka kushadadia usiyokuwa na ushahidi nayo! Epuka ushabiki wa kijinga!
Ulishawahi kunywa naye pombe?
Lijuakali, ndugai na wengineo wanajuana na Mbowe kwani wanapambania kukutawala na kula Kodi yako! Hawana shamba hawa Ila wanavuna kwelikweli!
Kushikiwa kwako akili kutakulaza njaa!
 
Huyo siyo mpare wewe wacha ushamba
Mpare anawezaje kuwa Chief wa Wasukuma labda wa wamawia!!
tapatalk_1550642956136.jpeg
 
Wewe huna akili
Mara kadhaa nimewataka watumie mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kueneza agenda zao za Uchaguzi Mkuu lakini wanaendekeza lawama na shutuma dhidi ya Serikali. Sasa wanahangaika kumsafisha mlevi na fusuka
 
Kila kitu kitawekwa wazi na wananchi wataujua ukweli.

Hizi spinning za kipuuzi za chadema za tutaweka wazi video (ushahidi) niliacha kuziamini kwenye lile tukio la (ma)bomu na risasi Soweto, Arusha. Kile kipindi cha "DVR". Kama wanao uhalisia wa tukio wauweke vinginevyo chama kinajiendesha kihuni kutokea mifukoni mwa watu wachache.

Chama hakikuwa na sababu ya kulinunua hili tukio la Mbowe bali wangeweza kuiachia familia yake au mwanasheria wake. Tofauti na tukio la Lissu ambalo lilikuwa real, hili lina maswali mengi kuliko majibu.
 
Polisi wataumbuka kwa Mara nyingine tena, Bahati mbaya wameshaongea wote, hawakuweka akiba, hakuna wa kusahihisha. Mbowe hakukanyaga 'Royal Village' siku hiyo na wameshatazama ushahidi wa camera za Royal Bila Shaka! Labda waje na zile CCTV za MO ambazo zinatoa picha za rangi!-Jon Mrema on twitter.

"RPC wa Dodoma kabla hajazungumza na vyombo vya habari, alfajiri ya tukio alikwenda hospitali pamoja na mazingira ya maumivu na matibabu aliyokuwa nayo Mbowe, alizungumza nae, alienda eneo la tukio, alijua undani wa tukio, ndio maana alikiri Mbowe amefanyiwa shambulio" -John Mnyika
Wenyewe wanakamsemo ccm ni mtoto wa kifuani chadema ni mtoto wa mgongoni... so, chadema watulie tu, watanyonyeshwa mama(police) akitaka, maana lazima amshushe wa kifuani kwanza.
 
Kuna wakati viongozi wa CHADEMA huwa wanafurahisha na kushangaza sana.

Wao wamemlalamikia IGP Sirro kwamba amepotosha kuhusu ajali ya kuvamiwa iliyomkuta Mwenyekiti wao Mbowe na wakati huo huo wanamuomba IGP Sirro ampe ulinzi makamu Mwenyekiti Tundu Lisu atakaporejea kutoka Ubelgiji.

Ni kama vile CHADEMA hawajui wanacholalamika wala wanachoomba kwa kifupi ni wababaishaji wasiotabirika.

Niishie hapo Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sasa hapo huelewi kitu gani?!

IGP kwa nafasi yake hatakiwi kutoa matamko ya kishabiki kama mwanasiasa, ndio maana anakemewa; na wakati huo huo IGP kwa nafasi yake anakumbushwa kutimiza majukumu yake kama kiongozi wa jeshi la polisi, kulinda usalama wa raia na mali zao.

Halafu IGP haombwi kutoa ulinzi, sema wanamtaka kutoa ulinzi, kwasababu huo ni wajibu wake na ndio kutekeleza majukumu ya kazi yake inayompatia mshahara kila mwisho wa mwezi.
 
Mbona hamtaji alikuwa anatokea wapi usiku huo?
Na ni.kwanini alikwenda kwa mukya kabla ya kwenda hospitali, utaratibu huo mke wa mbowe anaujua na alishatoa ruhusa kwa mbowe?
kumbe alipitia kwa Joy! hiyo mpya sana Mkuu!
 
Juni 12 ya mwezi huu,niliweka mada(mods waliiiunganisha) na kusema CHADEMA wameamua kuacha Polisi wafanye kazi yao ila wakifanya tofauti kwa maana ya kutoeleza ukweli wa tukio zima,basi CHADEMA watatoka hadhrani na kueleza kilichotokea.

Leo hii nafurahi kuona CHADEMA wanakusudia kuweka tukio hili hadharani kwa kutoa na ushahidi kama wengine tulivyotarajia.

CHADEMA ina watu smart sana.

Mada yangu ilikuwa ni hii:

Kwa mtazamo wangu,naamini mpaka sasa CHADEMA wameshakusanya taarifa za nini kilitpokea ila waliona kueleza kila kitu ingekuwa ni kuingilia uchunguzi wa Jeshi la Polisi, hivyo waliona ni busara watoe nafasi kwa Polisi kufanya kazi yao na kama maelezo ya Polisi yatakuwa tofauti na kilichotokea, basi watajitokeza kueleza kwa undani nini kilitokea na hiki ndicho binafsi nakitarajia kitatokea wakati wowote kuanzia kesho.

Kama kumbukumbu zangu ziko sahii, Mnyika alisema wakati tukio linatokea,Mbowe hakuwa peke yake bali kulikuwa na watu wengine ambao hawakuwataja hivyo naamini katika kujibu taarifa ya Jeshi la Polisi, CHADEMA watawataja waliokuwepo na pia na kama kuna ushahidi wa ziada,basi watautoa hadharani.

Naamini hata Mbowe mwenyewe atatoa maelezo ya nini hasa kilitokea.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom