Ndugu, epuka kushadadia usiyokuwa na ushahidi nayo! Epuka ushabiki wa kijinga!Mbowe alilewa waache kumfichia aibu
Kila mtu anajua Mbowe ni mlevi wa kutupwa
Mwambieni huyo mseminari Mnyika aache kubwabwaja
Ulishawahi kunywa naye pombe?
Lijuakali, ndugai na wengineo wanajuana na Mbowe kwani wanapambania kukutawala na kula Kodi yako! Hawana shamba hawa Ila wanavuna kwelikweli!
Kushikiwa kwako akili kutakulaza njaa!