Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi


Wakati wako busy na siasa huko barabarani maisha ya watanzania yapo mikononi mwa madereva wa mabasi.

Sijapata kuona upuuzi wa namna hii kwenye maisha yangu.

Kumfungia dereva wa basi hapo kwa miezi sita kama adhabu ni sawa na slap on the wrist. Hao madereva wote wawili walitakiwa kwenda jela si chini ya miaka miwili.

Tena huyo aliekuwa anapigwa overtake ndio tatizo zaidi kuliko aliekuwa akifanya overtaking halafu ndio kaachwa bila ya adhabu yoyote, uwezi ongeza speed wakati unapigwa overtake that is manslaughter ajali ikitokea.

Ningelikuwa waziri wa ulinzi kuna sababu ya kuanzisha ‘vicarious liability’ dereva wa basi akileta ajali mwenye basi anashitakiwa na kulipa fidia kwa wahanga this is unacceptable.
 
Mbowe ni lilevi tu
 
Joyce mukya noma
 
Wameshaanza kuweweseka kutoa kauli zao za ajabu, sadly enough mpaka IGP nae kaangukia kundi hilo, na yeye amekuwa mwanasiasa, wasubiri muda ufike wapate taarifa kamili toka Chadema, wao wamalizie uchunguzi wao kwanza.
Mlevi alilewa chakari akafichiwa siri na Joyce Mukya
 
Hii taarifa ya Chadema ni muhimu sawa, ila imeletwa kishabiki sana hapa. Nashauri Chadema wailete kama ilivyo. Polisi wametumika vibaya sana kwenye suala hili. sijui kwanini polisi wameamua kutumika kwa kiasi hiki!
Mnyika naye alikuwa amelewa kama mwenyekiti
 
Pumbaz....

Hakuna ushahidi wowote pia wa majirani ama mtu yeyote... i mean yeyote akiyesikia kupigwa kwake... na alipigwa nje ya nyumba yake.... ukivamiwa lazima upige kelele kuomba msaada...


They cant prove ulevi... but cant prove kuvamiwa na kupigwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…