Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Mleta mada ana hoja unalazimika kupinga sababu umeshachemka ila kimsingi huna sababu wala hoja ya msingiKukosoa kunatakiwa kuwe katika msingi wa mantiki.
Sasa kama mtu hapendi hayo majina unayopenda wewe unamkosoaje? Unamlazimisha apende kitu unachopenda wewe?
Nani kakupa haki ya kukosoa jina la mtoto wa mtu baki?
Ulimsaidia kuzaa? Una ubia kwenye hiyo ndoa au mahusiano hayo yaliyopelekea kumzaa huyo mtoto?
Hao unaotaka kuwapangia majina ya watoto wao walishawahi kukupangia wee jina la mtoto wako?
Acha zako wewe,kwani lazima uwaze kwenye negativity TuWewe c uncle wake muite "Tabu, Shida, Masumbuko na Sikujua au watoto wako wape haya ili ufurahi na roho yako
Siwezi kushangaa sana ukisema hivyo.Mleta mada ana hoja unalazimika kupinga sababu umeshachemka ila kimsingi huna sababu wala hoja ya msingi
Alafu kuna baadhi ya nchi za afrika tena watumiaji wa lugha za wazungu unakuta majina yake yoote ya asili adi raha na hawajali lakini sisi sasa!!
Umeweza kuupata mzizi wa fitina mkuu.Tatizo si jina tatizo ni kwamba tunapenda watu wafate mawazo yetu na si furaha zao.
Yeye akimuita moana,frank, charity na wa kwako ukamwita ndondocha, chungu, tabibu halafu wote mkakaa kimya bila kuzodoana itapendeza.
Hivi wakristo waliacha kubatiza kwa kubadili jina la asili na kumpa mtoto jina la kizungu?
Ni utaratibu wa kizumbukuku sana
Huo mtaa umeupenda sana ?Mtaa niliozaliwa huo,,sio jina langu..jina langu naitwa Hodari
Upo sahihi kabisa. Si mzalendo na unapigwa risasi.Umeweza kuupata mzizi wa fitina mkuu.
Watu wanapenda ku control wengine.
Mtu akiamua kumpa jina analotaka mtoto wake, mtu baki anapungukiwa nini?
Ni kutaka ku control watu tu.
Kwa msingi huu, kesho watataka watu wapigie kura chama fulani, kwa lazima, usipopigia si mzalendo.
Wanaanza polepole kuingilia uhuru wa watu.
Mawazo kamwe hayawezi kufanana,,sisi tumeona lipi jema ,wewe pia una mtazamo wako,,je no vibaya kusema unachoamini sahihi???kufikiria tofauti nawewe no umasikini???hakuna anaelazimisha,Ni maoni tu,,Kama unavyosema Hakuna Mungu,huwa unalazimisha au unaeleza unachoamini???Umeweza kuupata mzizi wa fitina mkuu.
Watu wanapenda ku control wengine.
Mtu akiamua kumpa jina analotaka mtoto wake, mtu baki anapungukiwa nini?
Ni kutaka ku control watu tu.
Kwa msingi huu, kesho watataka watu wapigie kura chama fulani, kwa lazima, usipopigia si mzalendo.
Wanaanza polepole kuingilia uhuru wa watu.
Sana ndugu,,ushafika maeneo Yale??Huo mtaa umeupenda sana ?
Acha zako wewe,kwani lazima uwaze kwenye negativity Tu
Lulu
Furaha
neema
Waridi
Haya siyo majina mazuri ya Kiswahili ya kuwapa watoto mkuu? Wenzetu wapo ulaya lkn Wana wanawaita watoto "Dele Ali " " wale" na rotimi
Tuondoe hii dhana ya kila jina la Kiswahili ni Baya na kina mikosi asee!!!
Kama unajua mawazo kamwe hayawezi kufanana kwa nini unalazimisha majina unayotaka wewe kwa watu ambao mawazo yao hayafanani na yako?Mawazo kamwe hayawezi kufanana,,sisi tumeona lipi jema ,wewe pia una mtazamo wako,,je no vibaya kusema unachoamini sahihi???kufikiria tofauti nawewe no umasikini???hakuna anaelazimisha,Ni maoni tu,,Kama unavyosema Hakuna Mungu,huwa unalazimisha au unaeleza unachoamini???
Habari salamu sio ndefu nimechefukwa mtoto wa dada yangu kapewa jina Moana, jina la kikatuni cha Disney nikapata maswali sana, kwanini hadi leo tunaendelea kushikilia majina ya wageni? Majina mazuri ya Kiswahili, lugha za asili yameisha au ndio tunayaona ya kizamani na hayafai kitu?
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa Muislamu na kumpa mtoto jina la kiarabu? Au mkristo kumpa mtoto jina la Kizungu kama Frank, Aboubakar, Sameer, Chris, Dorice, Khadija
Kwanini sio majina ya kichina au kihindi? Labda dini ni kitu chema lakini isiondoe u-Afrika wetu. Tujitafakari.
Hujasoma vizuri,,sio kila la wageni baya, Kuna ya kuiga,na Kama nimetahiriwa wakati nipo mdogo,au nikaitwa Solomon au Suleiman,sio kosa langu..na kujiita Forest Hill hapa,nimekosea(maoni yangu)....wewe unasemaje??Ungeanza wewe mwy kuonyesha mfano... lakini unanyoshea kidole wengine wakati huoni boriti jichoni pako...
Unajiita Forest Hill hapa JF
Na kama umetahiriwa basi huna mamlaka kuongelea hilo jambo maana umefata mila za kigeni...
Wewe ungekubali kuitwa NDUBWI?Unaweza kuta una jina la kizungu ambalo maana yake kwa kiswahili ni KISODA, au NDUBWI!
Kuna shule wanangu wansoma ayaaaa kama unasomewa majina halafu uko darasa lingine huwezi amani kama ni waafrika watoto wenye majina ya kabila ni wanangu tu na wanaonekana mastaaHabari salamu sio ndefu nimechefukwa mtoto wa dada yangu kapewa jina Moana, jina la kikatuni cha Disney nikapata maswali sana, kwanini hadi leo tunaendelea kushikilia majina ya wageni? Majina mazuri ya Kiswahili, lugha za asili yameisha au ndio tunayaona ya kizamani na hayafai kitu?
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa Muislamu na kumpa mtoto jina la kiarabu? Au mkristo kumpa mtoto jina la Kizungu kama Frank, Aboubakar, Sameer, Chris, Dorice, Khadija
Kwanini sio majina ya kichina au kihindi? Labda dini ni kitu chema lakini isiondoe u-Afrika wetu. Tujitafakari.
Ili maradi maana iwe nzuriWewe ungekubali kuitwa NDUBWI?
usihamishe magoli