Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

Halafu siku nyingine usirudie kusema mkoa mzima umeenda kushuhudia mtungi wa changaa acha hiyo.......

Bibi yangu kaenda shamba saizi sijui umemuonaje huko, halafu kwa taarifa tu, hapa moshi watu wanaendelea na shughuli zao
 
Hauko serious...........watu wmebeba bidhaaa za kwenda kuwapiga wageni watakaokuja kiufupi tunafuata fursa...
 
Iko wapi sasa hv maana tumekaa hapa masaa matatu sasa tunaisubiri arusha hapa.
 
Ndio mana lisu anawaambia miundombinu kabla ya uhuru ilikuwa inajengwa na marais wastaafu nao wamejenga miundombinu sasa inakuwaje awamu hii ndo ionekane miundombinu imeanza kujengwa wananchi wananyanyaswa hawapewi stahiki zao
Maigizo tupu
 
Hahahhaha acha utapeli.

Watu wa moshi unawajua vizuri?
Ndio maana nimepita maeneo ya ushirika na kwa mr price kinyaa watu hakuna. Jamaa a yangu yupo Uchira anasema wamekodi Coaster kwenda kuishangilia treni. Ccm hoyeeee
 
Sikuwahi kujua kama upumbavu ni ugonjwa wa kurithi,
We jamaa mbona umeandika utopolo namna hii?
 
Polepole kuzindua hii kitu wapi na wapi?

ndiyo maana Tundu Lissu anawapaga MATAGA za uso halafu wanaishia kulialia!
 
Hehehheh yani treni imfanye MTU aache shughuli zake!!
Labda sio moshi.
Msikusanye wanafunzi wa Primary na Sec, wanachuo pamoja na wafanyakazi wa umma. tumesema hivi sababu hamkawiagi nyie ili muonekane mmejaza watu kwenye TBC yenu.
 
Ushamba tu
 
Amani kwako.

Leo jijini Arusha kwenye kituo cha gari moshi (train) kuna shuguli ya kipekee ambapo wananchi mbalimbali jwa wingi wamekusanyika ili kuipokea train ya abilia iliyotokea jijini Dar kupitia Tanga, Kilimanjaro na hatimaye jijini Arusha...
Wekeni picha acheni blahblah
 
Wewe ni zuzu. Unashangilia kazi iliyofanywa kwa kodi yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…