granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Kuna singo mama huwa nakula kiaina, juz kat kaniambia anaolewa, nikampa hongera, akajbu bad thng naolewa na mtu ambaye simpendi hata ila yy ananipenda kufa, nikamuuliza sasa kwa nn anakubali kuolewa na mtu asiyempenda? akajbu wanawake wote walio kwenye cycle yake wameolewa bado yy tu, kwa hyo inabdi aolewe hvo hvo tu.Mr chakii umetisha bwashee
🤣🤣ndioHii inaweza kuwa chai, uandishi unafanana hasa kufupishwa maneno. Hapa mdau ni kama anatuma na kujjibu.
Hivi mkuu Mwanaume kama mwanamke hakupendi kutambua ni ngumu?Kuna singo mama huwa nakula kiaina, juz kat kaniambia anaolewa, nikampa hongera, akajbu bad thng naolewa na mtu ambaye simpendi hata ila yy ananipenda kufa, nikamuuliza sasa kwa nn anakubali kuolewa na mtu asiyempenda? akajbu wanawake wote walio kwenye cycle yake wameolewa bado yy tu, kwa hyo inabdi aolewe hvo hvo tu.
namuonea huruma mwamba maana mwanamke mwenyewe ni kivuruge, na hv hampendi, hakuna rang ataacha ona.
Binafsi nichukue nafasi hii kukupa hongera sana kwa yote yaliyokukuta, maana kawaida KENGE HUWA HASIKII MPAKA ATOKE DAMU MASIKIONI.
Wanasema help a woman when she is in need and she will surely remember you wheñ she is in need again.Kubababake! Kula chuma hiko.
Nyie madogo tatizo huwa mnajiona special sana, naona hapo unasema eti "utanikumbuka doly", acha ufala wewe hamna siku atakukumbuka huyo malaya, wewe sio special kama unavyojifikiria.
Kila siku tunasema humu achaneni na wake za watu tafuteni mabinti wasio na watoto, ila huwa mnajiona nyinyi ni special sana, mnafikiria ambao wananyooshwa na single mothers hawana hela, au hawajui kulomba, au hawana uzungu kama nyie, au mnafikiri wao sio wajanja ni washamba.
NASISITIZA TENA KWA WANAUME, Alichoshindwa mwanaume mwenzako na wewe utashindwa pia, usione aliyemshindwa huyo single mother ni Fala sana, Hujiulizi kwanini umemkuta yupo single na mtoto.
Kama unasoma hapa na bado unataka kuoa masingle mother, basi nawewe ndio kituo kitakachofuata. Ni swala la muda tu.
Be a Man, Mwanaume unastahili kupata kilicho bora.