Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Kwa huo uandishi wenu wa MEMKWA nimeamini kweli hiyo couple yenu ilikua ni vichaa FULL TIME
 
Hivi mkuu Mwanaume kama mwanamke hakupendi kutambua ni ngumu?
wala hakuna ugumu wowote, sema demu mwenyewe ni gud pretender hvo kama we si mtu wa mademu utaingia king, halafu ana kinyongo balaa, kwa kwel namuonea mwamba huruma
 
Kama vipi muombe mpige nae shoo ya mwisho mwisho halafu kandamiza kama yule mjeda mstaafu wa Tabora aliyekandamiza maQu hadi wakakata moto 🤣🤣
Halafu aende na vijana 4 wamfanye wamrikod kisha warushe baas ubbaya ubwela
 
Mtu kama huyu unakuta na yeye ana degree,ukiona mwanamke kazalishwa kama hajakuambia kuwa huyo mume wake amefariki achana naye,kama single mama honyeshi kaburi la baba mtoto achana nae,acha kujenga nyumba kwenye viwanja vya watu,mwanamke kumrudia bwana aliyemzalisha ni jambo la sekunde tuu kwa sababu hiyo ndiye mtu anayempenda kwa dhati ya moyo wake
 
Kmmae kula chuma hicho.eti Mungu yupo, Mungu akikituma kuokota hilo dubwana?
 
I dedicate to you the so called Neema by Chidumule
Mlisha kanywa kuhusu Singo Mazazi.... Hamsikii wala hamuelewi.... Hatuna namna ya kuwasaidia zaidi sikiliza wimbo wa Chidumule unaoitwa Neema.
 
Yaani mwandiko wa Single Mama na ben ten vinafanana! Kweli mmelandana
 
Mm naona hapo hakijaaribika kitu.

kwa sababu, ukiitaka utapewa tu, Maana zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Back
Top Bottom