Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Hakika kila mtu ninayekutana naye ana kitu nisichokifahamu na hili linanifanya kuwa mwanafunzi asiyehitimu Duniani.
 
Wanawake wanaandamwa kwa lipi na wanaume wanaandamwa kwa lipi. Unataka kusema brutal judgement anazozipata mwanamke kwa sababu ya umalaya(tabia ambayo anaweza kujilekebisha) ni mutualy relevant na anazozipa mwanaume kwa sababu ya mifumo kandamizi aliyowekewa?(mifumo ambayo haiwezi kuikwepa kwenye maisha yake).
 
Naturally, women like distructions and chaos, hata uwe mwema kwake kwa kiasi gani amani ikidumu kwa muda mrefu atatafuta sababu ya kuivuluga hata kama sababu iyo ni ya kipumbavu., ushawahi kusikia habari kuhusu mtalaka wa Ricardo Kaka, aliamua kuachana na Kaka kwa sababu jamaa ni mtu mwema sana. Just imagine mwanamke anadai talaka kwa sababu mumewe ni mwema sana, those are women it's just their nature to be chaotic.

Umeongea mambo mengi ambayo inawezekana yakawa ni mazuri tatizo yameshapitwa na wakati.
 
So it is better to choose to become an alpha male as advocated by Andrew Tate and his Brother Tristan Tate eeeh!..
 
So it is better to choose to become an alpha male as advocated by Andrew Tate and his Brother Tristan Tate eeeh!..
The women nature of attraction is very addictive to bad guys and this is because most bad guys possess high level of masculine qualities.

Qualities like confidence, assertiveness, toughness, physical strength, bravery and selfishness etc.

Bad guys may possess some dangerous characters that may be harmful to women like their violent nature, anger issues, stubbornness, addicted to smoking , womanizing and drugs and less kinder to people but then it doesn't concerns women.

What matter is that they possess these masculine traits that triggers their attraction button. It become worse when such bad boy possess money, power and fame.

Women will rather choose to go through the stress of trying and hoping to change a bad guy than to choose a Mr nice guy from the first place

The bad guys life is never boring, he is always engaged with adventurous activities and this are things that pricks women emotions.

The Mr nice guy life is very boring. A very predictable man, less dangerous, don't engaged in any interesting adventures, always pipe low, follow same routine everyday, don't correct woman, very agreeable etc.

At first women think they love the nice guy but with time, they will find his attitude boring and then they will go out to look for some who can bring live to them.

The only time the nice man will ever have a chance with woman is when she has been damaged beyond repair, women only need the Mr nice guys as a rehabilitation centre and nothing more.

DONT BE A NICE GUY.
 
I think the way I see my world has changed because I see it as the same energy at different levels. To me love is also hate when it is at its lowest limit.

When I am at low energy level I feel and see things in a negative way but when I am at high energy level I also feel ecstasy and vibrant in a way that I see the positivity of any thing.

I also firmly affirm that I am the master of my destiny so I can chose to be in any extreme of life (-ve or +ve). I am the gardener of my mind I can choose what to think and what to deny.

I think so therefore I am.
 
Mkuu uko smart sana upstairs
 
Those are purely qualities of an Alpha male
 
Sasa kichapo cha mwanamke mwenzie nacho unakiita kichapo, si wataishia kuvuana mawigi na kuchaniana nguo tu.
Wee acha kabisa usiseme hivo Kuna wanawake walimkalisha mwanamke mwenzao juu ya mdomo wa chupa ya bia mwengine alikalishwa juu ya ncha upanga wa kukatia miti na wanawake wenzake Huku kichapo kikiendelea.

Adui ya mwanamke ni mwanamke.
 
Duuh kwahiyo mwanaume kuwa mwizi ni mfumo ambao hawezi kuukwepa au ni mifumo gani hiyo ambayo unaongelea, sasa tendo linalohusisha jinsia mbili linawezaje kuwa sawa kwa jinsia moja halafu liwe kosa kwa jinsia nyingine wewe unaona kuna logic hapo, hivi hata tukija kwenye uhalisia tu kati ya mwanaume na mwanamke ni nani amewekewa mifumo kandamizi inayomtesa
 
unfortunately mwanaume asiyewekeza nguvu ,rasilimali na muda wake kwetu hatuna time nae atabaki single and bitter kama wewe......kwa hio unachoshauri hapa ni wanaume wakazane kutafuta pesa wasiwe na mahusiano at all,jambo ambalo hata wanaume wenzako hawatakubaliana nalo...namaanisha wataendelea kutoa pesa wapate mahusiano. It is what it is...hutaki kunywa sumu.
 
The topic is beyond of your thinking capacity by far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…