Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

Hivi kutoa maagizo na kusisitiza ufuatiliaji nayo ni zero brain??

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa sana unakuta mtu
Unapomuita mwenzio zero brain yan nashangaa.maana hata ukipita barabaran chiz pia huwa ana mahesab yake na inahitaji rocket science ya aina gani kusema unataka ufuatiliaji?
 
Makonda ni nani ndani ya inchi hii? Mnampa sifa asizo stahili mda ni mwalim, Yajayo yanafurahisha cha msingi ni kwamba kabla yake taifa lilikuepo na chama chake kilikuepo, hakuna jipya chini ya Dunia
 
Nashaur kama upo serous mkuu jarib kusoma soma japo unapopata muda politics zinafanyaje kaz.unless if ur facebook oriented
@julaibibi Mimi sijui kiingereza ila hichi chako nimeelewa. Ni chepesi mno. Asante.
 
Kwa tume ipi?
Uchaguzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na nani??
 
Bashite ataweza kweli kufanya hata kimoja hapo?
 
8. Kumwagiza waziri mkuu.
9. Kuwakaripia wastaafu , wasiongee wala kubenua midomo yao.
 
Wanajua kufanya Proper ganda ,wanaenda na wakati
 
Ni walewale waliopumbazwa, hao wote wako sawa. Magu alikuwa hajui hata anaenda wapi
Magu alifanya mengi lakini alikuwa hayuko endelevu, hana mipango wala maono, alikuwa akiamini miujiza itendeke. Alikuwa amejifungia ndani kama kisiwa bila kujua fedha angeendelea kuipata wapi na atauza wapi bidhaa zake za viwanda na mazao. Mazao yalikuwa hayapiti kenya wala Zambia, korosho zilikosa wanunuzi, misaada ilikata, wafanyabiashara walikimbia, mabenki yalifilisika, watumishi walikuwa wakidai, makandarasi walikuwa wakidai, watoa huduma walikuwa wakidai, wanajeshi walikuwa hoi, ofisi za serikali zilikuwa hoi. Kweli Mungu ni fundi sana, hali ingekuwa mbaya mno mno mno mno. Nadhani stressess zilichangia kumuondoa mapema baba yetu.
 
Ni chama cha hovyo sn
 
Yule jamaa ni kama vile viledio vya kichina!!! Vina sauti mpaka mtaa wa tatu!!!
 
Usikute Majaliwa mwenyewe ndiye aliyeshauri na kuomba aongezewe msaidizi kutokana na kazi iliyokuwa ipo mbele yake
Huenda Kuna jambo kubwa sana nyuma ya pazia kuhusu Waziri Mkuu; baada ya Mh. JPM kuondoka sarakasi zilikuwa nyingi sana ndani na nje ya CCM.
 
Wala hakuna kitu kama hicho...
 
Ni chama cha hovyo sn
sio cha hovyo bali walijifanyia self assessment na kukundua SWOC (strengths, weaknesses, Opportunities na challenges) zao kabla ya uchaguzi. Kazi hii ya kujifanyia tathimini ndiyo inayowaleta akina Makonda, Dotto na kuwanyooshea kidole akina Majaliwa Kasimu Majaliwa. Kazi hii ya Makonda kwa vyovyote vile ina baraka za mwenyekiti wa CCM ambae kwa vyovyote vile Majaliwa hakuwa chaguo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…