Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

Kuna baadhi ya wanao koment naona kama ndugu moja na mwandishi wa mada, kuna nini hapo?

Alafu mapicha picha kama yote kuna kitu mmepanga si kutujuza tu ila something behind!!.
 
Aisee safi sana,,nimeipenda hiyo.Japo ndoa ni sherehe muhimu sana kwa binadamu lakini kama uwezo hamna isilazimishwe sherehe watu wakaingia madeni....Hongera Askofu
... tatizo sio ndoa wala kipato; tatizo ni publicity. Kuna ujumbe gani wanataka ku-convey kwa jamii? Unadhani ni wao tu hufunga ndoa za makundi? Makanisa yote yana taratibu za aina hiyo. Mnafungishwa then mnasepa zenu kuendelea na majukumu mengine bila publicity.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Publicity ndio utandawazi wenyewe mkuu😝!
Sasa bila wao kupost si tungejuaje kuna ndoa za hivyo kwa kakobe
 
Huyo msichana na mchungaji wote wajinga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisa

mtu hana kitu akatafute kwanza
 
Huyo msichana na mchungaji wote wainga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisa

mtu hana kitu akatafute kwanza
Hahahah watakula madhabahuni mkuu, sababu watu wa design hio ndio wale waimba kwaya na wadekiji kanisaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Vizuri kuishi ndani ya uwezo wako, kuliko kufa kwa aibu

 
Huyo msichana na mchungaji wote wainga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisa

mtu hana kitu akatafute kwanza
Yule jamaa inaonekana ni wale wazee wa shule mpaka wanajisahau. Unasoma weee, wakati huna kazi au kipato CHOCHOTE.

Maana hata siku ya ndoa wazazi wake walikuwepo.
Pia mchungaji alihofu, maana unaweza kumkatalia mwanao kwa umri huo halafu akazalishwa nyumbani ikawa aibu kwake.
 
Mnichukulie mtakavyonichukulia ila hichi kitendo kingekuwa kinafanywa na madhehebu mengine ya kikristo vijana tusingesita kuoa kwa ndoa takatifu bila ya gharama kubwa kama mara kamati mara mapambo sijui ukumbi that is nothing!..angalia wenzetu ndoa za kiislamu zilivyo cheap ku afford yani baada ya kukubaliana ata kutanguliza mahali shekh anaitwa mkeka unawekwa ndoa inafungwa kiukweli huwa napendezwa sana watu wakila wali wa kawaida kabisa.Hata leo hii tuseme tupige paranja la vijana kwa sisi WAKRISTO na WAISLAMU waislamu wengi wamefunga ndoaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Uislam dini nzuri sana kwenye upande wa kuoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,, pisi 4 za kwenda ruksa kuzimiliki kwa gharama ya chupa za chai na mandazi tu.
 
Mimi ni miongoni mwa ndugu niliekuwepo. Ndugu tulikuwa wengi sana.
 
Tatizo si umri tatizo hana kitu atatesa mtoto wa watu mchungaji alitakiwa amweleze live huna kitu huwezi oa binti yangu atakosa matubzo kwako na utaingia kwenye dhambi sababu Biblia inasema mtu asiyetunza wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini

Huyo mzee hakutakiwa kuozwa mke hana kitu huyo
 
Tofautisha kati ya NDOA na SHEREHE.

NDOA haijawahi kuwa na GHARAMA kubwa hata siku moja.

Narudia tena NDOA haijawahi kuwa na GHARAMA.

Fungeni ndoa kama mnataka kuoana, achaneni na SHEREHE.

Unless useme labda kikwazo ni MAHARI, kitu ambacho kanisa halihusiki bali ni makubaliano ya wazazi.
 
Ndio utaratibu tuliojiwekea..... yes ni element ya umasikini ukiwa na hela za kumwaga, nawaita watu waje kula na kunywa basi.......... nakubaliana na wewe ingawa wengie wasipochangia hawaji maana utawabeza....
Yaani huo ni utaratibu wa kimasikini,umewalemaza watu wengi sana,hadi wengine wakiwa na birthday party nao wanataka wachangishe Michango pia!! Sherehe ni yako zama mfukoni mwako alafu fanya Mambo watu wako wafurahi kuliko kuwakera na Michango ya hovyo!!
 
Kuna watu wengi tu wanaoa, halafu wanakaa nyumbani.

Kwahiyo bread winner wa nyumbani kama ni baba au mama ndio atahusika kote.

Mtu kama huyo, hata kuoa unaweza kukuta ni shinikizo la wazazi wake.
 
Uislam dini nzuri sana kwenye upande wa kuoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,, pisi 4 za kwenda ruksa kuzimiliki kwa gharama ya chupa za chai na mandazi tu.
pilau huliwa sana mkuu Maharusi husindikizwa na ndugu marafiki majirani nk sherehe huwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…