Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.

The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
 
Kiufupi joti amesema Nyimbo zilizotesa sana b.fleva Tanzania ni Kwangaru, hakunaga, starehe, sunderela etc bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba TANZANIA namba Moja kabisa ni STAREHE wa feruzi akiwa na prof Jay, zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala , Mods tisiruhusu Tena topiki hii nimemaliza.
The greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi
1. Starehe
2.muziki
3.hakunaga
4.kwangaru
5. Ndio mzee
6. Mtoto idi
 
Wimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..

Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.

Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..

bila huu wimbo watu kibao wasingepata maisha mazuri na wengine wasingepata ajira

Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu

Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..

Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho

Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi

Bila huo wimbo Babu tale asingekanyaga kabisa bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tundaman na madee na mipango mingiii wapi wakapige show za kiingilio bia

Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee

Bongo fleva ilipelekwa next level na wimbo wa number 1 remix

Diamond alipindua Meza ya bongo fleva kwa huu wimbo

Kwenye mchezo wa kombolea tunasema alifanya Butua na kuokoa wenzake wotee wanaoimba bongo fleva
 
Wimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..

Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.

Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..

bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.

Babu tale asingekuwa mbunge

Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..

Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho

Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi

Bila huo wimbo Babu tale asingeenda bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tunda na madee wapi wakapige show za kiingilio bia

Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Ukuongelea mada hii hakuna wimbo hata mmoja wa wcb unakuwepo kwenye 3 all time greatest song, mi pia wcb
 
Wimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..

Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.

Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..

bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.

Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu

Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..

Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho

Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi

Bila huo wimbo Babu tale asingeenda bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tunda na madee wapi wakapige show za kiingilio bia

Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Labda ulikugusa wewe mkuu, lakini si industry yote
 
Ukuongelea mada hii hakuna wimbo hata mmoja wa wcb unakuwepo kwenye 3 all time greatest song, mi pia wcb

Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .

Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song

Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.

Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..

Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
 
Labda ulikugusa wewe mkuu, lakini si industry yote

Taja wimbo gani umegusa industry yote.

Diamond ana pesa kuliko wasanii wote mnaowataja taja.. sababu kubwa ilianzia kwa huu wimbo.

Alianza kualikwa show kubwa kubwa za nje ya nchi sababu ya wimbo wa number 1 remix ( enzi hizo diamond kwenye show za nje anaimba wimbo huo mmoja peke yake , haimbi mbagala wala ukimuona maana nje watu hawazijui..

Nakuwekea link ya video uone anavyowachezesha kwenye MTV awards

Kwa miaka hiyo hakuna msanii wa bongo alietoa wimbo ulioweza kufanya hivyo toka bongo fleva inaanzishwa.. nyimbo zilikuwa zinaishia mikoani tu kidogoo na kenya

Niwekee video ya wimbo wowote wa bongo fleva uliowahi kuimbwa kwenye show kubwa nje ya nchi kama MTV awards na mashabiki wakawa wanaimba na ku vibe kama hivyo.

Hizo mikasi, starehe hazikufika kuhit hata nchi jirani kama uganda na rwanda . ( weka ushahidi watu waki vibe cheza na kuimba mikasi nje ya nchi)

Ndio maana kina ngwea kafa mali alizoacha ni kitanda na vitu kazaa vya gheto.

Utoe hit song kubwaa halafu ishindwe kukuingizia helaaa ya kubadilisha maisha yako.. hiyo ni hit song ama magumashi..

Mziki ni hela. Wimbo unaoleta hela nyingi ndio hit song
 
Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .

Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song

Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.

Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..

Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
We na diamond wako mna shida, number one umehit kuliko bongo dare salaam,? Mikasi? Latifa? Ndani ya nchi hii kweli
 
Na
Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .

Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song

Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.

Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..

Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
Ile ya nana ndio ikawazika kabisa na EAST and central wakakubali kuna new king sasa..
 
Back
Top Bottom