Mkuu samahani, ni Bange au akili zako timamu.?
Yaani wimbo kuhit maana yake ni kutengeneza ela.???
Unaelewa maana ya neno hit.?
Alafu mbona huo Number one rmx sio hit song kwa nyimbo za Mondi.?
Unaukumbuka Mbagala.? Ule ndiyo ulihit, si watoto, si vijana, si wababa, si wamama, si wazee wote waliuimba na kuupenda,.. Ulikuwa yeboyebo, hiyo ndiyo maana ya hit song...
Wimbo wa Mikasi wa Ngwair haujaingiza ela pesa zaidi ya wimbo wowote pale WCB lakini ulihit kuliko Nyimbo zote za WCB tena enzi hizo hamna Insta, Tiktok, Fb, Jf, Snapchat na Youtube...
Nenda hata kijijini leo hii tafuta watu waambie wakuimbie huo Number one Rmx au hizi hapa chini uone...
1.STAREHE
2.MUGAMBO
3.KIDALI POO + FAGILIA(MR.NICE)
4.MUZIKI(DARASA)
5.MIKASI
6.HABARI NDO HIYO(FA & AY)
7.DHAHABU
8.MBAGALA
9.CINDERELA
10.HAKUNAGA
11.HAKUNA KULALA
12.NYUMBANI NI NYUMBANI(T.M.K)
13.KWANGWARUU
14.LEO(EAST COST)
15.NIITE BASI
16.NA WEWE TU(2 BERRY)
17.SI ULINAMBIA(MB DOG)
18.VAILET(MATONYA)
19.CHAMBUA KAMA KARANGA
20.JINI(Z ANTO)
21.DINGI (MAN DOJO & DOMO KAYA)
22.USIULIZE(RADO) + AUGUST 13(FID Q)..
The list goes on, lakini Number one rmx haiingii hapo hata kidogo..
Umeua