ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #21
WCB hawawezi kiwepo Kwa listi, kwanza wimbo mkali wa muda wote wa WCB ni Kwangaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na
Ile ya nana ndio ikawazika kabisa na EAST and central wakakubali kuna new king sasa..
Aisee we unajaza tu ta.ko kwa jambo ambalo lipo wazi, weka mahaba na diamond pembeni na jikite kwenye uhalisia siyo unakata mauno tu hapaNdio zikafata kibao.
Humu watu wanabisha tu. Nahisi Hawajui maana ya Hit song na kipimo cha hit song ni nini?
Wimbo haukupi hata show za maana halafu unaita hit song
Diamond alikuwa akipata show nje ya chi anaruhusiwa kuimba wimbo mmoja tu peke yake enzi hizo ambao ni number 1 remix.. maana hawataki nyimbo ambazo sio hit song kwa africa nzima,,
nyimbo kama mbagala, moyo wangu bongo tulizipenda ila ziliishia Tanzania tu
Aisee we unajaza tu ta.ko kwa jambo ambalo lipo wazi, weka mahaba na diamond pembeni na jikite kwenye uhalisia siyo unakata mauno tu hapa
Huyo mfuwasi wa Diamond Hana factAisee we unajaza tu ta.ko kwa jambo ambalo lipo wazi, weka mahaba na diamond pembeni na jikite kwenye uhalisia siyo unakata mauno tu hapa
Huenda jamaa na mtoto😂, hata tukisema tutaje top 30 zilizo hit,Number one haipoWe na diamond wako mna shida, number one umehit kuliko bongo dare salaam,? Mikasi? Latifa? Ndani ya nchi hii kweli
Bila huu wimbo mtoa mada atakuwa hakuwa Africa mashariki kwa miaka hii ya 2010'sMaisha na muziki acha maneno weka mziki
Mikasi 🔥Kiufupi joti amesema Nyimbo zilizotesa sana b.fleva Tanzania ni Kwangaru, hakunaga, starehe, sunderela etc bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba TANZANIA namba Moja kabisa ni STAREHE wa feruzi akiwa na prof Jay, zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala , Mods tisiruhusu Tena topiki hii nimemaliza.
The greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi
Kali sanaKuna kale kawimbo kanasema unakula mia tatu unahonga alfu moja.Watoto nyumbani wanakula viazi vitamu.
Nakuunga mkono.Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.
The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
Hakuna Ubishi. Ule wimbo uli-cut across all ages and generationsKiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.
The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
Unaumwa wewe...Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .
Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song
Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.
Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..
Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
Huenda jamaa na mtoto😂, hata tukisema tutaje top 30 zilizo hit,Number one haipo