Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

Mkuu samahani, ni Bange au akili zako timamu.?

Yaani wimbo kuhit maana yake ni kutengeneza ela.???

Unaelewa maana ya neno hit.?

Alafu mbona huo Number one rmx sio hit song kwa nyimbo za Mondi.?

Unaukumbuka Mbagala.? Ule ndiyo ulihit, si watoto, si vijana, si wababa, si wamama, si wazee wote waliuimba na kuupenda,.. Ulikuwa yeboyebo, hiyo ndiyo maana ya hit song...

Wimbo wa Mikasi wa Ngwair haujaingiza ela pesa zaidi ya wimbo wowote pale WCB lakini ulihit kuliko Nyimbo zote za WCB tena enzi hizo hamna Insta, Tiktok, Fb, Jf, Snapchat na Youtube...

Nenda hata kijijini leo hii tafuta watu waambie wakuimbie huo Number one Rmx au hizi hapa chini uone...

1.STAREHE
2.MUGAMBO
3.KIDALI POO + FAGILIA(MR.NICE)
4.MUZIKI(DARASA)
5.MIKASI
6.HABARI NDO HIYO(FA & AY)
7.DHAHABU
8.MBAGALA
9.CINDERELA
10.HAKUNAGA
11.HAKUNA KULALA
12.NYUMBANI NI NYUMBANI(T.M.K)
13.KWANGWARUU
14.LEO(EAST COST)
15.NIITE BASI
16.NA WEWE TU(2 BERRY)
17.SI ULINAMBIA(MB DOG)
18.VAILET(MATONYA)
19.CHAMBUA KAMA KARANGA
20.JINI(Z ANTO)
21.DINGI (MAN DOJO & DOMO KAYA)
22.USIULIZE(RADO) + AUGUST 13(FID Q)..

The list goes on, lakini Number one rmx haiingii hapo hata kidogo..
Basi basi basi,

Mods nawaomba mfunge huu Uzi shughuli imeishia hapa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Watoto WA miaka ya 2000 mna tabu sana huyo Vanessa Hana hit hata moja kumfikia Saida kakori alivyokuwa hit

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dude swali langu lilitoka hapa kwenye comment ya joseph1989 na muhusika amenijibu nikamuelewa. sasa wewe unakuja na stori zako za Saida karoli sijui nani kakauliza au unadhani simjui saida.
Screenshot_2022-10-02-09-01-37-44.jpg
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
List yangu ya nyimbo Kali Tanzania
1.Kwangwaru
2.Macmuga
3.Piipii
4.Starehe
5.Binti Kiziwi
6.Cindelella
 
Wimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..

Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.

Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..

bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.

Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu

Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..

Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho

Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi

Bila huo wimbo Babu tale asingekanyaga kabisa bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tundaman na madee na mipango mingiii wapi wakapige show za kiingilio bia

Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee

Bongo fleva ilipelekwa next level na wimbo wa number 1 remix
Ki ukweli dogo alipindua meza
 
2018 kila m Tz aliiokota
2010 piiipiiii
2021 bia ilikua tamu
Nikusaidieje prof J
 
Wimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..

Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.

Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..

bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.

Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu

Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..

Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho

Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi

Bila huo wimbo Babu tale asingekanyaga kabisa bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tundaman na madee na mipango mingiii wapi wakapige show za kiingilio bia

Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee

Bongo fleva ilipelekwa next level na wimbo wa number 1 remix
Starehe ndoo nyimbo iliyohit zIdi
 
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.

The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
Starehe unakalishwa hata na Hip Hop mdundiko ya mambo jambo
 
Starehe hata ikipigwa leo bado masikio yatasimama, wengi hawaupi heshima yake sababu ya muimbaju kufulia ndo wabongo tulivyo ila huo wimbo utaishi kwa muda mrefu Sana sababu aliimba uhalisia kabisaaa na isingekuwa ARV zenu hizo mpk kesho ungeimbwa km wimbo wa taifa,,
 
Back
Top Bottom