Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani, ni Bange au akili zako timamu.?
Yaani wimbo kuhit maana yake ni kutengeneza ela.???
Unaelewa maana ya neno hit.?
Alafu mbona huo Number one rmx sio hit song kwa nyimbo za Mondi.?
Unaukumbuka Mbagala.? Ule ndiyo ulihit, si watoto, si vijana, si wababa, si wamama, si wazee wote waliuimba na kuupenda,.. Ulikuwa yeboyebo, hiyo ndiyo maana ya hit song...
Wimbo wa Mikasi wa Ngwair haujaingiza ela pesa zaidi ya wimbo wowote pale WCB lakini ulihit kuliko Nyimbo zote za WCB tena enzi hizo hamna Insta, Tiktok, Fb, Jf, Snapchat na Youtube...
Nenda hata kijijini leo hii tafuta watu waambie wakuimbie huo Number one Rmx au hizi hapa chini uone...
1.STAREHE
2.MUGAMBO
3.KIDALI POO + FAGILIA(MR.NICE)
4.MUZIKI(DARASA)
5.MIKASI
6.HABARI NDO HIYO(FA & AY)
7.DHAHABU
8.MBAGALA
9.CINDERELA
10.HAKUNAGA
11.HAKUNA KULALA
12.NYUMBANI NI NYUMBANI(T.M.K)
13.KWANGWARUU
14.LEO(EAST COST)
15.NIITE BASI
16.NA WEWE TU(2 BERRY)
17.SI ULINAMBIA(MB DOG)
18.VAILET(MATONYA)
19.CHAMBUA KAMA KARANGA
20.JINI(Z ANTO)
21.DINGI (MAN DOJO & DOMO KAYA)
22.USIULIZE(RADO) + AUGUST 13(FID Q)..
Basi basi basi,The list goes on, lakini Number one rmx haiingii hapo hata kidogo..
Watoto WA miaka ya 2000 mna tabu sana huyo Vanessa Hana hit hata moja kumfikia Saida kakori alivyokuwa hitKwenye hii listi yako sijaona wimbo wa Vanessa Mdee mkuu whilst she had a lot of hits songs those days.
Dude swali langu lilitoka hapa kwenye comment ya joseph1989 na muhusika amenijibu nikamuelewa. sasa wewe unakuja na stori zako za Saida karoli sijui nani kakauliza au unadhani simjui saida.Watoto WA miaka ya 2000 mna tabu sana huyo Vanessa Hana hit hata moja kumfikia Saida kakori alivyokuwa hit
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ki ukweli dogo alipindua mezaWimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..
Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.
Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..
bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.
Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu
Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..
Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho
Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi
Bila huo wimbo Babu tale asingekanyaga kabisa bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tundaman na madee na mipango mingiii wapi wakapige show za kiingilio bia
Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Bongo fleva ilipelekwa next level na wimbo wa number 1 remix
Hata hivyo hakuna nyimbo inayogusa industry yote, kwamfano huo STAREHE mnaousifia humu binafsi sijawahi kabisa kuuelewa.
Labda ulikugusa wewe mkuu, lakini si industry yote
Starehe ndoo nyimbo iliyohit zIdiWimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..
Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.
Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..
bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.
Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu
Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..
Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho
Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi
Bila huo wimbo Babu tale asingekanyaga kabisa bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tundaman na madee na mipango mingiii wapi wakapige show za kiingilio bia
Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Bongo fleva ilipelekwa next level na wimbo wa number 1 remix
mtoto wa geti kali1. Starehe
2.muziki
3.hakunaga
4.kwangaru
5. Ndio mzee
6. Mtoto idi
Starehe unakalishwa hata na Hip Hop mdundiko ya mambo jamboKiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.
The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.