Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Hayo ni mawazo yako binafsi ambayo hayaakisi uhalisia,majority ndiyo ishara ya kitu kukubalika.Ukuongelea mada hii hakuna wimbo hata mmoja wa wcb unakuwepo kwenye 3 all time greatest song, mi pia wcb
Angalia likes za post unayoipinga na likes za post yako, usilazimishe ukipendacho wewe kuwa ndiyo kinapendwa/kinakubalika na wengi.
Kila mtu ana choices zake lakini choices za wengi ndiyo zinakuwa na uzito zaidi.
Umetajiwa wimbo uliokuwa na impact na ukaleta mapinduzi makubwa katika industry ya Bongo Flavor bado unalazimisha kuwa unazidiwa na nyimbo ambazo most of them literally hazijaweka alama, hazina impact katika industry na wala hazikufanya mageuzi yoyote tangible unayoweza kuyaelezea hapa zaidi ya kuzisifia tu, too much blah blahs.