Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

Na

Ile ya nana ndio ikawazika kabisa na EAST and central wakakubali kuna new king sasa..

Ndio zikafata kibao.

Humu watu wanabisha tu. Nahisi Hawajui maana ya Hit song na kipimo cha hit song ni nini?

Wimbo haukupi hata show za maana halafu unaita hit song

Diamond alikuwa akipata show nje ya chi anaruhusiwa kuimba wimbo mmoja tu peke yake enzi hizo ambao ni number 1 remix.. maana hawataki nyimbo ambazo sio hit song kwa africa nzima,,

nyimbo kama mbagala, moyo wangu bongo tulizipenda ila ziliishia Tanzania tu

Hizo ndio levo za kina Mikasi, Starehe, zali la mentali, zeze tid, etc

Ila sio levo za Number 1 remix
 
Ndio zikafata kibao.

Humu watu wanabisha tu. Nahisi Hawajui maana ya Hit song na kipimo cha hit song ni nini?

Wimbo haukupi hata show za maana halafu unaita hit song

Diamond alikuwa akipata show nje ya chi anaruhusiwa kuimba wimbo mmoja tu peke yake enzi hizo ambao ni number 1 remix.. maana hawataki nyimbo ambazo sio hit song kwa africa nzima,,

nyimbo kama mbagala, moyo wangu bongo tulizipenda ila ziliishia Tanzania tu
Aisee we unajaza tu ta.ko kwa jambo ambalo lipo wazi, weka mahaba na diamond pembeni na jikite kwenye uhalisia siyo unakata mauno tu hapa
 
Aisee we unajaza tu ta.ko kwa jambo ambalo lipo wazi, weka mahaba na diamond pembeni na jikite kwenye uhalisia siyo unakata mauno tu hapa

Ukiona kwenye debate mtu analeta matusi ujue ameshindwa hoja
 
Yale ni maoni yake binafsi mwenyewe Joti,unaweka ukashagaa kesho mpoki akasema Mapepe- Kingwendu ndio nyimbo kali ya mda wote, so huwezi mbishia kwani ni maoni yake binafsi.

Kwangu mimi binafsi nyimbo bora kwa mda wote.
1.Ferooz-Starehe.
2.Bongo Dar-es-Salaam-Prof.
3.Nikusaidieje-Prof.
4.Hakuna Kulala-Juma Nature.
5.Chid Benzi- Dar-es-Salaam Stand up.

Ila ukija kwenye level za International, nyimbo zilizo fanikiwa ktk level za international,mpaka kukompete kwenye nafasi za juu MTV,Sportfy, Apple nk.

1.Number 1 rmx-Mond.
2.Navy ft Mdee-Game.
3.Nana-Mondi.
4.Mondi-Inama ft Fally Ipupa.
5.Navy-Kamatia Chini.

Japo nyimbo ya kwanza kushika nafasi ya kwanza ktk chati ya kila wiki za MTV ilikuwa ni Nusu nusu ya Joh Makini.
 
Kiufupi joti amesema Nyimbo zilizotesa sana b.fleva Tanzania ni Kwangaru, hakunaga, starehe, sunderela etc bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba TANZANIA namba Moja kabisa ni STAREHE wa feruzi akiwa na prof Jay, zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala , Mods tisiruhusu Tena topiki hii nimemaliza.

The greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi
Mikasi 🔥
 
Nakurnda bibi kizee na enomaic
Starehe, na darasa maisha na muzic
 
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.

The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
Nakuunga mkono.
 
kwangu mm
1.kidato kimoja wa Ji
2.marlaw pipii song
3.sinderela -alikiba
4.hakunaga-sumalee
5.mr nice -fagilia bongo
6.zali la mentali-profesa j
7.Tid-zeze
 
"Mwokoz nitoe roho niepuke ili balaa[emoji444]",, maisha nimechezea leo hii nalala njaa[emoji444],," chemshango kabla,,,,,,,,!"[emoji445]
 
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.

Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.

The Greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi.
Hakuna Ubishi. Ule wimbo uli-cut across all ages and generations
 
Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .

Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song

Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.

Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..

Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
Unaumwa wewe...

Unadhani Starehe ungetoka nyakati za sasa ingekuwaje?

Assume nyimbo za zamani ndiyo zingekuwa zinatoka nyakati hizi, hao wcb wangekuwa hawaingii hata kwenye top 10.
 
Back
Top Bottom