ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
1. StareheKiufupi joti amesema Nyimbo zilizotesa sana b.fleva Tanzania ni Kwangaru, hakunaga, starehe, sunderela etc bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba TANZANIA namba Moja kabisa ni STAREHE wa feruzi akiwa na prof Jay, zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala , Mods tisiruhusu Tena topiki hii nimemaliza.
The greatest Hit Song of all time in TANZANIA is STAREHE by Feruzi
Vipi sitaki demu, Mzee wa busara na jinsi kijana1. Starehe
2.muziki
3.hakunaga
4.kwangaru
5. Ndio mzee
6. Mtoto idi
Ukuongelea mada hii hakuna wimbo hata mmoja wa wcb unakuwepo kwenye 3 all time greatest song, mi pia wcbWimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..
Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.
Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..
bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.
Babu tale asingekuwa mbunge
Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..
Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho
Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi
Bila huo wimbo Babu tale asingeenda bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tunda na madee wapi wakapige show za kiingilio bia
Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Labda ulikugusa wewe mkuu, lakini si industry yoteWimbo ulio hit kuliko wote Tanzania..
Ni number 1 remix - Diamond plutnumz ft Davido.
Huu wimbo ulipendwa na kila mtu na umebadilisha maisha ya watu wengi sana Tanzania. Wa kwanza akiwa Diamond plutnumz mwenyewe..
bila huu wimbo watu kibao wasingepata ajira.
Bila huu wimbo Zuchu angekuwa anauza duka na kumsaidia mama yake kuimba taarabu
Ruge mutahaba na mapromota kibao wa bongo fleva wasingenyooosha mikono kwa wasanii ..
Bila huu wimbo Harmonize angekuwa mtwara analima korosho
Bila huo wimbo Rey vanny angekuwa stand uyole anauza maparachichi
Bila huo wimbo Babu tale asingeenda bungeni.. angekuwa manzese anakimbizana na kina tunda na madee wapi wakapige show za kiingilio bia
Number 1 remix ni wimbo ulioigusa industry ya bongo fleva yoteee
Na vipi kuhusu 'Hakuna Kulala'?!!!Vipi sitaki demu, Mzee wa busara na jinsi kijana
Ukuongelea mada hii hakuna wimbo hata mmoja wa wcb unakuwepo kwenye 3 all time greatest song, mi pia wcb
Kuna Mitungi mikasi na nini mnataka mazeee hizo ngoma ni hatari...1. Starehe
2.muziki
3.hakunaga
4.kwangaru
5. Ndio mzee
6. Mtoto idi
Labda ulikugusa wewe mkuu, lakini si industry yote
We na diamond wako mna shida, number one umehit kuliko bongo dare salaam,? Mikasi? Latifa? Ndani ya nchi hii kweliWimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .
Pesa ambazo wimbo umeingiza kwa jumla ndio kipimo cha hit song
Niambie wimbo gani Tanzania umeingiza hela nyingi ghafla na kubadilisha maisha ya game la bongo fleva.
Number one remix imegusa kila upande wa bongo fleva.. na kuleta changes kwa industry nzima..
Huu wimbo uliwafanya mabingwa wa fitna wa game la bongo fleva clouds fm wanyooshe mikono juu ..
Stress tupa kule🤣🤣🤣❤️
Ilikuwa sera enzi zile kupambana na ukimwiKwamara yakwanza haya Benjamini William mkapa alimnunulia msanii zawadi ya gari kwa wimbo
STAREHe by feruuuzi
Ile ya nana ndio ikawazika kabisa na EAST and central wakakubali kuna new king sasa..Wimbo ku hit maana yake ni kutengeneza pesa .