Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

Nilijua ni sinza pazuri 🤣🤣🤣
 
Sahihi...Number one
 
Kuku kapanda Baiskeli - Mr nice

Kikulacho - Mr Nice

Mikasi - Mangwair

Nikusaidieje - Professor Jay

Hizi nyimbo Kama hujazitaja nakuomba kabisa futa hiyo orodha haraka Sana
 
List imekosa credibility kwa kukosekana wimbo wa MZIKI

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hakuna wimbo wowote wa MB Dog, Mr Nice wala Saida Karoli (Huyu mama wimbo wake upo kama background track ktk movie ya Hollywood)?
 
Mkuu samahani, ni Bange au akili zako timamu.?

Yaani wimbo kuhit maana yake ni kutengeneza ela.???

Unaelewa maana ya neno hit.?

Alafu mbona huo Number one rmx sio hit song kwa nyimbo za Mondi.?

Unaukumbuka Mbagala.? Ule ndiyo ulihit, si watoto, si vijana, si wababa, si wamama, si wazee wote waliuimba na kuupenda,.. Ulikuwa yeboyebo, hiyo ndiyo maana ya hit song...

Wimbo wa Mikasi wa Ngwair haujaingiza ela pesa zaidi ya wimbo wowote pale WCB lakini ulihit kuliko Nyimbo zote za WCB tena enzi hizo hamna Insta, Tiktok, Fb, Jf, Snapchat na Youtube...

Nenda hata kijijini leo hii tafuta watu waambie wakuimbie huo Number one Rmx au hizi hapa chini uone...

1.STAREHE
2.MUGAMBO
3.KIDALI POO + FAGILIA(MR.NICE)
4.MUZIKI(DARASA)
5.MIKASI
6.HABARI NDO HIYO(FA & AY)
7.DHAHABU
8.MBAGALA
9.CINDERELA
10.HAKUNAGA
11.HAKUNA KULALA
12.NYUMBANI NI NYUMBANI(T.M.K)
13.KWANGWARUU
14.LEO(EAST COST)
15.NIITE BASI
16.NA WEWE TU(2 BERRY)
17.SI ULINAMBIA(MB DOG)
18.VAILET(MATONYA)
19.CHAMBUA KAMA KARANGA
20.JINI(Z ANTO)
21.DINGI (MAN DOJO & DOMO KAYA)
22.USIULIZE(RADO) + AUGUST 13(FID Q)..


> The list goes on, lakini Number one rmx haiingii hapo hata kidogo..
 
Tunazungumzia nyakati tofauti mkuu, starehe umetoka 2004, huo mwingine nadhani ni 2014 au 2015 sina uhakika.

Ila bado kwa nyakati zile starehe ilibamba sana kulinganisha na hiyo number one kwa nyakati hizi
 
Kwanza inabidi uelewe pindi hizo nyimbo zoote zinatoka hapakuwa na platform kubwa kama sasa hivi.Mitandao ya kijamii na matumizi ya smartphone yangekuwepo kama sasa hivi, amini hao wasanii wetu wangekuwa mbali sana. By the way kila zama na zama zake. Sisi wakongwe hutuambii kitu kuhusu old bongo flavour.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…