Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hatujipendi tatizo letu. Angalia tu tunavyowagawa wanamuziki wetu mpaka na wao wanaona poa tu kuchukiana. Team Kiba na Team Mondi..ule ni upuuzi wa asili yetu ndio roho zetu zilivyo.Kwasababu hamna uwezo.
Naona tutasubiri sana kama ni hivyo.Mpaka sisiemu waache kuvamia uchafuzi ndipo tutashiriki mashindano ya kombe la dunia FIFA WC.
Kesho tunakula nyingi tu zisizopungua TanoInabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Akili za kitoto hizi.Machawa zii
Yamefanyaje Tena maCcm ..... Mi walaaa hata bila waliyofanya ..nawauwa tu Stars..... Niger katusumbua vile ndio tumfunge Morroco ...hata chizi hawezi kuwaza hivyo....Tanzania kuifunga Morroco itakuwa ngumu wakuu hata kama msingekuwa na nia hiyo ya kuwapa Morocco support kwasababu ya CCM
Jitahidi usiwe mjinga bado hujachelewa.Tanzania ni hii hii moja kama unaumia sana Tafuta nauli uhamie ncho jirani, hapo maisha yataendelea kama kawaida.
Mpira sio mchezo wa kukariri hata siku moja.Yamefanyaje Tena maCcm ..... Mi walaaa hata bila waliyofanya ..nawauwa tu Stars..... Niger katusumbua vile ndio tumfunge Morroco ...hata chizi hawezi kuwaza hivyo....
Hao huwa wanajigawa wenyewe hakuna mtanzania anayehusika hapo.Team Kiba na Team Mondi.
Hata Mungu anakaa mbali na haya maombi.... Hatuna timu ya kumfunga Morroco.....Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.
Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.
JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.
Utaumia Bure kama Simba walivyoingia na matokeo Yao.... Hatuna timu ya kumfunga Morroco labda tuzuie tu kama Algeria.....na tushukuru tu Algeria naye alikuwa ameshapita ....Hawa ndio tunaanza nao mbio .... Tutagongeshwa hutoamini....Mpira sio mchezo wa kukariri hata siku moja.
Btw hiyo dua unaomba kwa nani?Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
dua unaomba kwa nani
Ni kweli kabisa chawa.Akili za kitoto hizi.
Namaansha ulichoreply kilipaswa kuwa kwenye comment ya mtu nliyemjibu na sio tena kwenye comment yanguKuna shida yoyote kwa mimi kureply comment yako ?
si sawa hata kidogo na haina maana kabisa, ingawa ni burudani piaHawa wajinga kwa sababu ya machungu yao wanataka tuitenge Team yetu pekee tuliyonayo.
Aisee Huwezi kunitenga na Stars hata siku moja.
Yaani mtupangie tuhamie Burundi na ...mtulazimishe kushangilia Ujinga Starz..... Tumeamua kuhamia Morroco.....Huu ulofa upigwe marufuku.
Basi potezea tu 😂 😂Namaansha ulichoreply kilipaswa kuwa kwenye comment ya mtu nliyemjibu na sio tena kwenye comment yangu
Nazungumzia CCM kulea ujinga katika soka.Yaani mtupangie tuhamie Burundi na ...mtulazimishe kushangilia Ujinga Starz..... Tumeamua kuhamia Morroco.....
Tunapigwa kama Ngoma keshoInabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.