Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Tuwemo ....... Tutakumbushana hapa ....
2013 ulikuwa na miaka mingapi?, tuliwafunga Morocco 3-1 hapa hapa uwanja wa taifa team ya kina Sure Boy, Amri Kiemba, Samatta na Mwinyi Kazimoto.

Morocco wamebadilika sana kumbuka mpira wao upo juu sana na wanakwenda kucheza ulaya kama sisi tunavyokwenda sokoni pale kinondoni kununua vitunguu na nyanya.
 
Nani amekuambia ana Imani na Mbowe? Hiyo ya kupambana kupata uhalali wa wananchi tulishavuka, Sasa hivi tuko kwenye hatua ya jinsi ya kupambana na majizi yajiitayo system, huku yakiwa yanashirikiana na ccm kubaki madarakani kwa shuruti.
 
.... Nilikuwa kazini .... kazini mwaka wa 5 ...jiongeze Sasa ...... Sasa nina early 40's....
 
Kumbe maafisa wa usalama wa taifa hawaheshimiwi.Yaani huyo Mbowe licha ya kuwa usalama wa taifa bado akasingiziwa kesi ya ugaidi kwamba amepanga kukata miti kuanzia Dar mpaka Mbeya ili kuzuia barabara magari yasipite!Nchi hii kuna vituko

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kila la heri Wazalendo
 
Naomba matokeo....muachage ubishi wa uccm na Chadema katika SOKA ..Soka ni mchezo wa wazi....naomba matokeo....
Fuatilia kwenye runinga kijana, matokeo yapo. Ni mechi iliyokuwa sawa na mazoezi kwa Taifa Stars inayojiandaa kucheza AFCON mwakani kule Ivory Coast.

Hawa hawa tuliwapiga 3-1 hapo hapo uwanja wa taifa, wenzetu wanafanya kazi ya kizalendo ya kutengeneza vizazi na vizazi vya team yao ya taifa sisi huku tunasubiri tufungwe ili tupate cha kuongea!, huku kutopendana kwetu ni chanzo cha umaskini wetu.
 
Mkuu;
Usije usikimbie Uzi ubaoni ngapi ngapi huko mpaka muda huu.....??
Tumekufa 2-0 wala siwezi kutembea kichwa chini eti kwa sababu tumefungwa.

Hawa ni wa kwanza afrika kwenye viwango vya Africa, ni wa 13 duniani kwa viwango vya FIFA, wapo juu sana lakini sisi tunao mwelekeo mzuri wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kulipwa kwenye kikosi cha kwanza.

Roma haikujengwa ndani ya siku moja, tupo kwenye njia sahihi ya kuijenga Roma yetu.
 
Kombe alikuwa boss wa usalama wa taifa akapigwa risasi na kuuawa sembuse Mbowe ambaye hakuheshimiwa!.
 
Nani amekuambia ana Imani na Mbowe? Hiyo ya kupambana kupata uhalali wa wananchi tulishavuka, Sasa hivi tuko kwenye hatua ya jinsi ya kupambana na majizi yajiitayo system, huku yakiwa yanashirikiana na ccm kubaki madarakani kwa shuruti.
Utazeeka na malalamiko yako mengi hapa JF, pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ