Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mpira unaochezwa uwanjani sio sawa na ule wa playstation, pia punguzeni kujidharau mnaifanya kazi ya kutawaliwa na wazungu inakuwa nyepesi sana.Mkuu bare in mind,
hauna timu ya kuisumbua morocco Kwa stars ipi😊😊