Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana.
Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake.
kwa niliyowahi kusikia huko nyuma haya ndo mapungufu ya makonda yaliyofanya vyombo vya dola kupendekeza kwa Magufuli amuondoe
1. Ana tamaa kubwa sana ya pesa na mali kiasi anaweza kumfanya mtu chochote kile ile apate pesa au mali.
2. Ana hulka ya ubabe na kupenda kutumia nguvu kiasi anaweza kumuumiza mtu ili tu afanikishe lengo lake.
3. Hana nidhamu wala adabu. Anaamini katika nguvu za aliye juu yake tu anayemlinda. Mtu kama huyu hafai kufanya kazi katika mifumo thabiti ya uwajibikaji na utendaji.
4. Ni mtu anayeamini kutengeneza mifumo nje ya mifumo halali ya nchi katika kutimiza malengo yake. Amewahi kutengeneza vikundi vilivyokuwa vikifanya kazi chafu hadi kusababisha Rais wa nchi kukosana na vyombo vya dola
Swali langu
Je waliomteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wanajua hizi changamoto zake? Hawakuuliza hata kwenye vyombo vya dola?
Wakati utaongea!